Ukiona hivyo ujue yamemkuta ohooo
Anajuwa anachokisema

Ova
 
Kwa sisi wanaume inatakiwa uangalie sana sehemu unayooa na kama una mali ujipange mapema. Kuna dada mmoja alikuwa anaomba baba yake afe ili arithi kiwanja kilichoko Kariakoo. Na kweli shetani akasikia ombi lake akafariki. Siku alipofariki yule dada alikuwa na uchangumfu ambao uliwashangaza watu. Nikawa najiuliza huyu kama anaweza kufanya hivi kwa baba yake, je kwa mumewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…