Jamaa amefanya kitu ambacho nimewahi kukiwaza pia.
Lakini nafikiri inaathari kwa upande mwingine pia wataalam wa sheria watueleze. Nafikiri mama akifariki kwa kua asset zinasoma majina yake si ndugu wengine watalilia mgao wa jasho lisilowahusu.
Nope haiwezekani nasikia next kin ni yeye hakimi so Maza aki vuta kabla yake jamaa anakua kama karithishwa.
 
😅😅😅lazima maana hawa huwa wanakuwa na washauri wao pembeni. Wanasuka tuu kwa kuhesabu vilivyonunuliwa. Wakishahisi inatosha bibie analiamsha dude kisha kesi mgawano mali
Alishaipigia hesabu ile nyumba ya ghorofa mtaa wa makonde😀😀hawa viumbe ndo maana tuliambiwa tuishi nao kwa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…