WAZEEE WAKATAAA NDOAAAAAA OYEEEEEEEEE..

NASEMAJEE ...

KATAAA NDOA INANUFAISHA UPANDE MMOJA..

Hapo huyo hakimu adai nae wagawanee Mali za mwanamkeee.

Mpaka boksa anayovaa hakimu mama ndio mmilikii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji28][emoji28][emoji28]lazima maana hawa huwa wanakuwa na washauri wao pembeni. Wanasuka tuu kwa kuhesabu vilivyonunuliwa. Wakishahisi inatosha bibie analiamsha dude kisha kesi mgawano mali
Huyu demu na uhakika hata iyo kesi walio mpakazia mshkaji eti kambaka mtu nyumbani kwao alivokua Dubai wote huo ni mchongo Ili avute mkwanja mrefu jamaa ainekane kamsaliti lakini kajuta kumfahamu hachiraf [emoji23][emoji23]
 
Hapo tatizo ni mahakama. Kama mishahara ilikuwa inaenda kwa mama yake. Mahakama ilitakiwa kujirisha kuwa mishahara inaenda kwa mama yake. Ilikuwa ni sababu tosha kuwa mama yake alikuwa ni kipitishio na kifichio cha hela hizo. Kwa hiyo jamaa alifanya makusudi alijua anamficha mkewe. Huo ndio ungekuwa unayanyasaji mkubwa zaidi. Mahakama ingeamua fedha za mama ni za jamaa.
Mahakama ilitakiwa kuhoji. Hela za mama anazioata kwa kazi gani anayoifanya. Vinginevyo ni utakatishaji wa kumfucha mke.

Jamani siungi mkono tabia za wanawake kutolewa na kuachika ili kudai mali.
 
Wabongo mna ujuaji wa kifala kwahiyo ww unaijua sheria kuliko majaji wa mahakama ya Ufaransa?
Haya tuambie una shahada ngapi za sheria mpaka unakuja kuwakosoa majaji wa kifaransa.
 
Wanaume tunaupiga mwingi sana akili zishaanza kufunguka
Hapa Kuna mwamba mwingine japo Alisha tangulia mbele za haki Mzee Mengi alimsoma slay queen akili akajua mchezo ulivo akamuandalia barua ya mirathi fake na sign fake demu hakushtukia mchezo, akajipanga akajua kauaga umasikini duu lilimkuta jambo mahakamani Hana hamu kaamua akale tu upepo wa dubenga.
 
unaonekana unaweza kumsaidia emmanuel eboue kudai mali zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…