Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
UONGOZI WA JUU KABISA KATAA NDOA.
1. Ashraf Hakimi (Mwenyekiti)
2. Cristiano Ronaldo (Katibu)
3. Leonardo DiCaprio (Mweka Hazina)
4. Diamond Platnumz (Mjumbe Wa kamati Tendaji)
Mzito Leonardo DiCaprio ni level za juu sana huwezi kumlinganisha na huyu dogo. Kwa upande wangu huyu Achraf ni mpuuzi sana unaingia vipi kimahusiano ya muda mrefu na mwanamke aliyekuzidi miaka 12? Kituko zaidi kamzalisha watoto wawili.
 
Wabongo mna ujuaji wa kifala kwahiyo ww unaijua sheria kuliko majaji wa mahakama ya Ufaransa?
Haya tuambie una shahada ngapi za sheria mpaka unakuja kuwakosoa majaji wa kifaransa.
Hii ni sehemu huru ya majadiliano. Acha matusi. Sina shahada. Nina busara tu. Digrii sio busara. Kwa taarifa yako. Mahakama imebaini tu. Haijatoa uamuzi.
 
Mzito Leonardo DiCaprio ni level za juu sana huwezi kumlinganisha na huyu dogo. Kwa upande wangu huyu Achraf ni mpuuzi sana unaingia vipi kimahusiano ya muda mrefu na mwanamke aliyekuzidi miaka 12? Kituko zaidi kazaa nae watoto wawili.
We ni au basi,,,,,,,,,,,.......
 
Hapo tatizo ni mahakama. Kama mishahara ilikuwa inaenda kwa mama yake. Mahakama ilitakiwa kujirisha kuwa mishahara inaenda kwa mama yake. Ilikuwa ni sababu tosha kuwa mama yake alikuwa ni kipitishio na kifichio cha hela hizo. Kwa hiyo jamaa alifanya makusudi alijua anamficha mkewe. Huo ndio ungekuwa unayanyasaji mkubwa zaidi. Mahakama ingeamua fedha za mama ni za jamaa.
Mahakama ilitakiwa kuhoji. Hela za mama anazioata kwa kazi gani anayoifanya. Vinginevyo ni utakatishaji wa kumfucha mke.

Jamani siungi mkono tabia za wanawake kutolewa na kuachika ili kudai mali.
Unajua ni mkataba gan waliingia na mama?kama jamaa aliona mam yake alitumiq gharama kubwa kumlea na ameamua kurudisha fadhila kwa kuchukua mshahara wake utamlazimisha kuwa sio sahihi?
 
Mzito Leonardo DiCaprio ni level za juu sana huwezi kumlinganisha na huyu dogo. Kwa upande wangu huyu Achraf ni mpuuzi sana unaingia vipi kimahusiano ya muda mrefu na mwanamke aliyekuzidi miaka 12? Kituko zaidi kamzalisha watoto wawili.
Alikua teenager hastahili kulaumiwa,
Miaka 19 unadhani alikua ana maamuzi gani mbele ya mmama wa miaka 31..... heko kwa Mama Hakim hakutaka kukatisha mahusiano ila akamwambia mwanangu Mali zako zote utanikabidhi kwa jina langu utanishukuru baada ya miaka kadhaa.....
 
ukiwa na pesa zama hizi usijiroge ukaoa, tembeza kirungu tu, wanawake wengi wa kizazi hiki ni majini wenye muonekano wa umbo la ki binaadamu
Weka akiba ya maneno,una dada wewe,shangazi,mama zako.je mama yako asingeolewa wewe ungezaliwa???
 
Hapa Kuna mwamba mwingine japo Alisha tangulia mbele za haki Mzee Mengi alimsoma slay queen akili akajua mchezo ulivo akamuandalia barua ya mirathi fake na sign fake demu hakushtukia mchezo, akajipanga akajua kauaga umasikini duu lilimkuta jambo mahakamani Hana hamu kaamua akale tu upepo wa dubenga.
Hakuna kitu kama hicho,
Mengi alimpenda Jack na Watoto wake, aliishi maisha ya furaha na familia yake hiyo kwa maisha yake mafupi aliyokua amebakiza,

Hizo mambo za Barua fake na sign fake ni hujma tu kafanyiwa yule dada lakini huwezi kufananisha Ndoa ya Mengi na Jack na ya Ashraf na Hiba,

#Msinyanyase Wajane
 
Hapa Kuna mwamba mwingine japo Alisha tangulia mbele za haki Mzee Mengi alimsoma slay queen akili akajua mchezo ulivo akamuandalia barua ya mirathi fake na sign fake demu hakushtukia mchezo, akajipanga akajua kauaga umasikini duu lilimkuta jambo mahakamani Hana hamu kaamua akale tu upepo wa dubenga.
Inamaana jack hakupata chochote?
 
Back
Top Bottom