and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
UNCLE Shamte akaoe huyo Bibi akale urithi kilainiMwamba ana akili mingi, kwa kweli waafrika wanaooa watu weupe wasipotumia akili za namna hii watabaki masikini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UNCLE Shamte akaoe huyo Bibi akale urithi kilainiMwamba ana akili mingi, kwa kweli waafrika wanaooa watu weupe wasipotumia akili za namna hii watabaki masikini.
Kama K lynKuna yule mrembo alipiga Bingo kupitia THIERRY HENRY, walizaa Mtoto Mmoja tu - Tea
Haahaaa mkuu nipo jirani hapa kwenye haya maduka ya nguo unishtue....kwa kumuunga mkono huyu Brother wa dunia wa mwezi huu, kuna Bar inaitwa AKIMI ipo hapa jijini(usiulize jiji gani) itabidi nikafanye matumizi badae kijua kikiteremka.
🦋Jamaa ana roho ya ubinafsi mtu kakuzalia watoto wawili kwa nini mali andike za Mama yake😬😬
mpaka mkojo uisheUtapiga nyeto hadi loni sasa?
NAKAZIAKataa Utumwa
Kataa Unyonyaji
Kataa Ujambazi
Tokomeza Ndoa
Pinga Ndoa
Kataa Ndoa
😅😅😅🤣na huyu mbakwaji anakuwa mwenzao yaani chama moja.Huyu demu na uhakika hata iyo kesi walio mpakazia mshkaji eti kambaka mtu nyumbani kwao alivokua Dubai wote huo ni mchongo Ili avute mkwanja mrefu jamaa ainekane kamsaliti lakini kajuta kumfahamu hachiraf [emoji23][emoji23]
Sheria huwa haliangalii busara huwa inaangalia sheria inasemaje.Hii ni sehemu huru ya majadiliano. Acha matusi. Sina shahada. Nina busara tu. Digrii sio busara. Kwa taarifa yako. Mahakama imebaini tu. Haijatoa uamuzi.
Nasikia dada ni tajiri sana pia No 1 models Spain...amemzidi dogo 12yrs dada ana 36 dogo 24 alimkuta ndio anaanza mpira akiwa 19 yrs ameenda nae hadi sasa na wana watoto ....dada analipa cost run nyumba na watoto pia na gharama zake nadhani wamepishana baada tabia dogo kubadilika ana kashfa kubakia huyo dogo ....tuweze balance story.....Ndiyo dawa ya ma-gold diggers na slay and drama queens
Sio jack ni Ibrahim Onami, mkenya. Jack amekopi kwa ibraDogo jack huyo namuelewa sana vipindi vya channel yake.
Fanya hivyo kama
1. Umezaliwa peke yako tu( Mama yako akifa inahesabika ni mali ya familia hivyo mgao unakua wa watoto wake wote,ikitokea umefariki kisha Mama yako yupo hai mkeo na watoto hawana vyao pale na mbaya nyumba ikiwa kwa jina la Mama yako ,mke na watoto wanaweza timuliwa hapo kama hawana maelewano mazuri na Mama mtu)
2. Mama yako sio mtu wa dini sana hasa muumini wa manabii na mitume. sadaka etc zitahusika kufilisi mali zako
3. Mama sio mtu wa vivoba na vikundi wala mpenda mikopo
4. Sio mtu wa sherehe kila kukicha,maisha ya mashindano.
5. Mama usipitwe(kila fashion yake)
6. Mtu wa mashosti,viben10