Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
Kwanza mdogo wetu alioa lishangazi. 24 kwa 36? Aah weee.. bora apaye size yake[emoji23][emoji23]
Nimefurahi zaidi hiyo kesi ya kustage ya raping imebuma. Sisi wanawake ni sweet evils i swear... sijui shogake saa hizi anaiweka wapi sura yake
Inamaana miaka yote Mwanamke hajawai ona documents za Mali zao!!? Just anaibuka tu kudai bila evidence!!?
 
Kumbuka hela amepata sheria ya spain au paris ....sio za morroco.....Ile transfer fund wana trace bibi anaitwa court aseme anapata wapi cash flow atasema kutoka mwanae ambae anafanya kazi ulaya .....kesi bado mbichi
Akina ashraf sio wajinga washajipanga kila kitu na mwanasheria hawajakirupuka washaona loophole,,mbona unampigania Sana huyo golddigger upo na wew kwenye mgao?
 
Kumbuka hela amepata sheria ya spain au paris ....sio za morroco.....Ile transfer fund wana trace bibi anaitwa court aseme anapata wapi cash flow atasema kutoka mwanae ambae anafanya kazi ulaya .....kesi bado mbichi
Kumbuka hela amepata sheria ya spain au paris ....sio za morroco.....Ile transfer fund wana trace bibi anaitwa court aseme anapata wapi cash flow atasema kutoka mwanae ambae anafanya kazi ulaya .....kesi bado mbichi
Itakuwa gold digger wewe, huyo Ashraf hadi kufanya hivyo alipata ushauri wa wanasheria hakukurupuka, umeambiwa 80% ya mshahara wa hakimi ndioa unaenda kwa maza na sababu kazitoa kuwa analipa fadhila kwa bi mkubwa, haiwezekani mimi nitusue maisha halafu nikununulie nyumba wewe mchuzi wangu tena tuandike jina lako halafu siku ya siku ionekane nyumba ni yangu
 
Kabisa Auntie hawachelewi kupandishwa cheo kwa mwamposa kisa sadaka nene.

Hapa najiuliza ile michezo ya kodi hispania watamdai nani kati ya hakimi na Mama yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama analipa Kodi zote,huu mpango wa Dogo na hakika ulifanyika kisheria Kati yake na Mama,hawajakurupuka tu kupeana Mali Kienyeji Kama Mama na Mwana tunavyofanyaga Africa!!!
 
Kumbuka hela amepata sheria ya spain au paris ....sio za morroco.....Ile transfer fund wana trace bibi anaitwa court aseme anapata wapi cash flow atasema kutoka mwanae ambae anafanya kazi ulaya .....kesi bado mbichi
Hata Mimi nashangaa wabongo wanavyoshangiria hiyo kesi Mali lazima zitagawanywa ni swala LA muda tu.
 
Kabisa Auntie hawachelewi kupandishwa cheo kwa mwamposa kisa sadaka nene.

Hapa najiuliza ile michezo ya kodi hispania watamdai nani kati ya hakimi na Mama yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Utasikia maza kapewa uzee wa kanisa[emoji23]

Hapo mamlaka ya kodi itakua inajipanga nayo
 
Hujasikia upande wa pili.....as yule dada na alivyomsaidia kufika hapo akiwa ulaya .....nadhani ana deserve amlipe waachane kwa amani..sidhanikama dada ana shida kivile ni mrembo no 1 Spain....amemlea dogo from 19yrs to 24 yrs leo Dada ana 36 yrs sasa
Siyo kweli, kwani huyo msimbe ndiyo alikuwa wakala wake? Na kama alikuwa na mapenzi ya dhati kwa Hakimi si angemsamehe maana katika ndoa kupishana kauli ni jambo la kawaida kabisa. Au unaataka kusema hata hicho kipaji cha mpira huyo model amechangia?
Kuna mifano ya wanawake ambao imesababisha waume zao kuwa na kilele cha mafanikio na hata hao wanaume kwa vinywa vyao wamekiri bila wake zao labda wasingefikia hapo walipo.
Nitakutajia mifano ya wanaume wawili though orodha ni ndefu.
1. Rais wa Ufaransa - Emmanuel Macron, mke wake ndiyo kila kitu yaani ni mentor wake na tofauti ya umri wake na mke wake ni wa mama na mwana.
2. Former US President- Barack Obama, mara kadhaa amehojiwa na kukiri mafanikio yake aliyoyapata hayawezi kutenganishwa na mahusiano mazuri ya mke wake, yaani akiwa ndiye mshauri wake namba 1 katika kila hatua ya maisha yake.
 
Kuna mwamba Iringa aliona kashanasa kwenye mtego wa kugawana mali, anataka kumuacha mkewe Ila akiwaza mali pasu kwa pasu ikawa inamuwazisha sana, akamset waifu kuwa wauze mali zote wahamie dar kuanza maisha upya, mke bila kujua akawa analeta hadi wateja. Ile wanamalizia kuuza kijiko jamaa kaenda dar baada ya wiki karudi anaanza kulia pesa zote katapeliwa na haikuchukua muda kamtwanga talaka mkewe
Another great thinker
 
.
FB_IMG_1681540586514.jpg
 
Hakuna kitu kama hicho,
Mengi alimpenda Jack na Watoto wake, aliishi maisha ya furaha na familia yake hiyo kwa maisha yake mafupi aliyokua amebakiza,

Hizo mambo za Barua fake na sign fake ni hujma tu kafanyiwa yule dada lakini huwezi kufananisha Ndoa ya Mengi na Jack na ya Ashraf na Hiba,

#Msinyanyase Wajane
Kwa

Kwa hiyo Jack sio Gold digger?
 
Back
Top Bottom