MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Thanks for sharingNasikia dada ni tajiri sana pia No 1 models Spain...amemzidi dogo 12yrs dada ana 36 dogo 24 alimkuta ndio anaanza mpira akiwa 19 yrs ameenda nae hadi sasa na wana watoto ....dada analipa cost run nyumba na watoto pia na gharama zake nadhani wamepishana baada tabia dogo kubadilika ana kashfa kubakia huyo dogo ....tuweze balance story.....