Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
Nasikia dada ni tajiri sana pia No 1 models Spain...amemzidi dogo 12yrs dada ana 36 dogo 24 alimkuta ndio anaanza mpira akiwa 19 yrs ameenda nae hadi sasa na wana watoto ....dada analipa cost run nyumba na watoto pia na gharama zake nadhani wamepishana baada tabia dogo kubadilika ana kashfa kubakia huyo dogo ....tuweze balance story.....
Thanks for sharing
 
Hapo tatizo ni mahakama. Kama mishahara ilikuwa inaenda kwa mama yake. Mahakama ilitakiwa kujirisha kuwa mishahara inaenda kwa mama yake. Ilikuwa ni sababu tosha kuwa mama yake alikuwa ni kipitishio na kifichio cha hela hizo. Kwa hiyo jamaa alifanya makusudi alijua anamficha mkewe. Huo ndio ungekuwa unayanyasaji mkubwa zaidi. Mahakama ingeamua fedha za mama ni za jamaa.
Mahakama ilitakiwa kuhoji. Hela za mama anazioata kwa kazi gani anayoifanya. Vinginevyo ni utakatishaji wa kumfucha mke.

Jamani siungi mkono tabia za wanawake kutolewa na kuachika ili kudai mali.
Hakimi analipa kwa kuwa mama yake alimlea kwa tabu (ni deni)

Mimi nilisomeshwa na sister baada ya kupata kazi akawa ananidai pesa zake ambazo nikampa 10 million cash then namsomeshea watoto wake watatu
 
Nadhani sasa mtamuelewa mama's boy Diamond platnumz dogo aliusoma mchezo mapema sana Kila kitu kipo kwa Jina la bi Sandra alijua ma Gold diggers kina mobetto wange mmaliza Hawa ma slay queen Wana la kujifunza, hata sikumoja Maza hawezi kukugeuka mwanae ila Hawa viumbe wa kuitwa mke sijui mzazi mwenzangu dakika sifuri tu, mwamba hakimi amecheza kama pele.
Mama'sboy 5 - slay queens 0

Diamond na yeye mali zake kamuandikisha bi sandra??
Wapi anko shamteee[emoji23][emoji23]
 
Kwanza mdogo wetu alioa lishangazi. 24 kwa 36? Aah weee.. bora apaye size yake[emoji23][emoji23]
Nimefurahi zaidi hiyo kesi ya kustage ya raping imebuma. Sisi wanawake ni sweet evils i swear... sijui shogake saa hizi anaiweka wapi sura yake
 
Mimi ni KE,alichofanya jamaa kanifurahisha Sana.
Sasa Kaka zetu wa Kibongo wajifunze TU,maana wengine wanaogopa hata kuachana na mke kiss Mali alizochuma,Hadi talaka anaogopa kutoa.
YAANI HUYU MWAMBA KANIFURAHISHA SAAAANA.Wale Wanawake wenzangu wanaotoa mimacho KWENYE Mali wajifunze.
Hujasikia upande wa pili.....as yule dada na alivyomsaidia kufika hapo akiwa ulaya .....nadhani ana deserve amlipe waachane kwa amani..sidhanikama dada ana shida kivile ni mrembo no 1 Spain....amemlea dogo from 19yrs to 24 yrs leo Dada ana 36 yrs sasa
 
Kabisa Auntie hawachelewi kupandishwa cheo kwa mwamposa kisa sadaka nene.

Hapa najiuliza ile michezo ya kodi hispania watamdai nani kati ya hakimi na Mama yake😂😂😂😂😂
Antie hiyo mambo ya hakimi sijui kama inafanya kazi kwa nchi za kiafrica.
Unaandikisha mali zako zote kwa jina la mama,ndugu wanamuua warithi mali[emoji23] au mama anachukua mali anampelekea mchungaji ama atafute ben 10 amlee[emoji23][emoji23]
Wabongo waache kujifariji
 
Kutangaza na kufunga ni vitu viwili tofauti,Hawezi kufunga ndoa labda mama yake awe amekufa. Ronaldo anamsikiliza mama yake kuliko mtu yeyote hapa duniani.Mama yake alishakataa CR7 kufunga ndoa na Georgina.
Kwani Georgina ana shida gani? Namuonaga yuko cool sana
 
Hujasikia upande wa pili.....as yule dada na alivyomsaidia kufika hapo akiwa ulaya .....nadhani ana deserve amlipe waachane kwa amani..sidhanikama dada ana shida kivile ni mrembo no 1 Spain....amemlea dogo from 19yrs to 24 yrs leo Dada ana 36 yrs sasa
Amemlea wapi mkuu acheni hizo hapa halambi hata Mia kama anajiweza angeondoka kimya kimya
 
Mimi ni KE,alichofanya jamaa kanifurahisha Sana.
Sasa Kaka zetu wa Kibongo wajifunze TU,maana wengine wanaogopa hata kuachana na mke kiss Mali alizochuma,Hadi talaka anaogopa kutoa.
YAANI HUYU MWAMBA KANIFURAHISHA SAAAANA.Wale Wanawake wenzangu wanaotoa mimacho KWENYE Mali wajifunze.
Inategemea! Mwanamke azikute Mali,au Mali zimkute Mwanamke ndani!! Kwa issue ya huyo Dada, Mali alizikuta kitambo tu!!
 
Amemlea wapi mkuu acheni hizo hapa halambi hata Mia kama anajiweza angeondoka kimya kimya
Unafikiria amepaa akadondoka ulaya ? Mafanikio yako laizma tunachangia na watu .....hizo hasira tu lakini ukweli upo dada anastahiki chake ....na wana mtoto piaa ....hapo utasemaje ? Child support kwa sana lazima
 
Child support amcheki Bibi ( 075463636364) jina linakuja mama achraf [emoji23]
 
Nasikia dada ni tajiri sana pia No 1 models Spain...amemzidi dogo 12yrs dada ana 36 dogo 24 alimkuta ndio anaanza mpira akiwa 19 yrs ameenda nae hadi sasa na wana watoto ....dada analipa cost run nyumba na watoto pia na gharama zake nadhani wamepishana baada tabia dogo kubadilika ana kashfa kubakia huyo dogo ....tuweze balance story.....
Kumbe Dada nae ni tajiri mpigaji!!?? Basi vibuyu vimeumana!!
 
Kuna mwamba Iringa aliona kashanasa kwenye mtego wa kugawana mali, anataka kumuacha mkewe Ila akiwaza mali pasu kwa pasu ikawa inamuwazisha sana, akamset waifu kuwa wauze mali zote wahamie dar kuanza maisha upya, mke bila kujua akawa analeta hadi wateja. Ile wanamalizia kuuza kijiko jamaa kaenda dar baada ya wiki karudi anaanza kulia pesa zote katapeliwa na haikuchukua muda kamtwanga talaka mkewe
 
Back
Top Bottom