Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
umeona eh? yan hio picha ya pili imenipa ukakasi kidogo, hata ningekua mimi mwanangu wa kiume na busu la aina hio hapanaMie napatwa na wasi wasi kweli, maana sio kawaida, na venye mali zote kaandika mama ake ndo nazidi kupatwa na bumbuazi.