Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
Mzito Leonardo DiCaprio ni level za juu sana huwezi kumlinganisha na huyu dogo. Kwa upande wangu huyu Achraf ni mpuuzi sana unaingia vipi kimahusiano ya muda mrefu na mwanamke aliyekuzidi miaka 12? Kituko zaidi kamzalisha watoto wawili.
Kwenye watoto hapo ndio demu atakomaa
 
GOLDDIGGER kachibwa yeye [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Manzi yupo full package ndio maana sina hata demu mwingine ukiachana na yeye kila idara yupo poa mzuri wa sura haitaji make up ndio awe mzuri macho yake,tabasamu lake inanivutia, ana tako kubwa, kifuani kajaaliwa. Ana upendo wa dhati huyu manzi ile mbaya hata nikiwa sina hela ananivumilia na wala aninunii muelewa,ataniomba hela pale tu akiwa na uhitaji Tena inaweza kutokea mara 2 au 3 kwa mwezi ni aina ya manzi ninajikuta na muhudumia hata bila kuniomba hela na moyo wangu unabaki unafuraha



Unaweza kuta ana akili yake ametega mingo kwenye mali zako au za wazazi wako bila wewe kujua!
Lakini kama huna mali yoyote mfano nyumba wala nini hata wazazi wako nako hakuna kitu basi hapo ulichosema kinaweza kuwa ni upendo pekee!
 
Hii picha ya ashraf hakimi na mkewe inasema mengi Sana[emoji4]View attachment 2587487

Ngoja nijaribu kuitafsri,, Hakimi cheka yake tu ni kinafiki haswa, atakuwa anasema huyu manzi anafikiri mimi ni fala analowaza nishaliwaza na kylifanyiankazi siku nyingi sana, ngoja aingie kingi aone,

Wakati huyo manzi hapo anaweza sina raha hata na haya mahusiano nipo tu mda ukifika nichukue changu nisepe,,
 
Burnaboy ukimtaka kwenye show yako negotiations na malipo unayafanya kwa mama yake na kila kwenye show yupo na mama yake, watu wamechoka mizinga,tamaa na udangaji wa kijinga wa wanawake.
 
Huyo mwanamke amesalitiwa kabla ya kuimba talaka.. that being the case,modern women require modern solutions..
La kuongeza naona hata wanaume wenye wake wanafurahia hili suala which is not a good sign.yani kufurahia Huko kitendo maanake hata ndoa umeshapita dosari kamba haita-survive...

sheria za sasa na ulimwengu wa sasa umewafanya wake kwa waume ku-concentrate Sana kwenye Mali,they have destroyed marriage as an institution which is a sad thing

an easy solution kwa wanaume is kabla hujaoa jua Tu maliza uasherati walk wote,wanawake wa siku hizi hawavumilii uasherati kisa ndoa,na kama ni mwanamke jua Tu kwasababu ni 2023 basi nafasi ya mwanamke as a homemaker imebadilika..majukumu yako palepale..
 
Watalelewa na bibi yao au mama yao kupiitia msaada wa bibi yao. Uliza pia vipi mama yao akidondoka watalelewa na nani?!
Tunaongelea Me akidondoka kwasababu yeye ndo anajua pesa zake kaweka wapi.
Mwanamke akiwahi kabla ya mwanaume watoto watakua salama maana kibunda mume anajua alikoficha.
 
Unaweza kuta ana akili yake ametega mingo kwenye mali zako au za wazazi wako bila wewe kujua!
Lakini kama huna mali yoyote mfano nyumba wala nini hata wazazi wako nako hakuna kitu basi hapo ulichosema kinaweza kuwa ni upendo pekee!
Mkuu huyo manzi nimemfahamu hata before sijawa na mahusiano nae so namuelewa vizuri hapretend kabisa maisha hapo nimeongea tu machache tu kuhusu yeye mengi kanifanyia kuna kipindi kanisaidia nilikuwa nimepigika ile mbaya bila hata masimango, amekuwa pia na utaratibu wa kunitoa out na anamgharamia kila kitu ebu nikuulize wanawake wangapi wa sasa ambaye wanawatoa out wanaume zao? Mwanamke ukimthamini,ukimjali, ukimpenda na yeye akukupenda atajitoa Sana kwako na ndicho nilichotengeneza mimi kwake mambo mazuri niliyomfanyia imekuwa kama akiba kwenye moyo wake
 
IMG_8780.png
 
Gold digger kapigwa kipigo cha mbwa koko wa Keko.
 
HUYU MDADA NA PESA ALIZONAZO BADO ALIHITAJI APATE MALI KUPITIA
DOGO HAKI.
#DOGOHAKI KAFUNDISHA KITU
... tumfahamu kidogo huyu bidada Hiba Abouk.

Hiba Aboukhris Benslimane (amezaliwa 30 Oktoba 1986) ni mwigizaji wa Kihispania. Anajulikana kwa majukumu yake katika safu ya runinga, haswa ile ya Fatima katika The Prince.

......
images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom