reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Anadaiwa yeye bi habiba sasa hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada kakutwa na jambooo.
Uwiiiiiih.
Nimecheka hadi baas, huyu Ashraf mbayaa jamani lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anadaiwa yeye bi habiba sasa hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada kakutwa na jambooo.
Uwiiiiiih.
Nimecheka hadi baas, huyu Ashraf mbayaa jamani lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaahAnadaiwa yeye bi habiba sasa hivi
Shida ya bongo ndugu Wana roho mbaya Hawa tulozaliwa nao brotherWanaume tungekua Kama ashraf hakimi,
Maisha yangekua Safi Sana[emoji4]
Na anamaliza mchezoAfu anayefata kucheza yuko na last card
Kweli kabisa tichaNa anamaliza mchezo
Vicky anampenda David mnooo Yaani bidada ndo moyo wake ulipoAmeshatangaza NDOA tayari, ni suala la muda tu.
Me nadhani siyo wote wenye tabia hizo chafu, nafuatilia Beckham na mkewe somebody Adam naona uzee unawanyatia, kama wana mazengwe basi yanaishia ndani huko.
Hahahah hii ndio ile maana ya "Ishini nao kwa akili"🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mahusiano yajayo ndio yatakuwa yenye mapenzi ya kweli na sio utapeli 😀😀😀Huyu Jamaa mahusiano yake yajayo yatakua na ugumu sana 😂😂😂
Malaya katoka kapaHuyu ndio mwamba..!!!!
Mamaeee malaya kala za mbavu....
Bet lost kmmmk walai 🤣🤣🤣🤣Mkeka umechanika
Hahahahah huyo mwamba alishajisajili UWABATA siku nyingi sana. Ile kaulimbiu ya mchongo anausikilizia anaijua vyema sana.Nadhani ubahiri wake pia umevunja ndoa,haiwezekani mali zote ziwekwe kwa jina la mamaake.
Kitu cha Rollover yani 😀😀😀Mkeka wa Megamix ya miaka 5 umechanwa na timu moja[emoji1787]
Hahahahahah na hii ndio dawa yenu kama unanipenda tuishi tu ila kufunga ndoa hapana 🤣🤣🤣 hamkawilii kubadilikaga nyieKutangaza na kufunga ni vitu viwili tofauti,Hawezi kufunga ndoa labda mama yake awe amekufa. Ronaldo anamsikiliza mama yake kuliko mtu yeyote hapa duniani.Mama yake alishakataa CR7 kufunga ndoa na Georgina.
Mwanamke akikukubali na huna kitu unajua umepata mke kweli ila hawa wa mpenzi lazma anihudumie ni wezi by 100% ipo siku tutaelewana tu.Ukiwa na hela kupata mke mwema ni shughuli,mwana alicheza kama pele.
Mastaa wengi waliofanikiwa kwenye ndoa zao mfano Lebron James, Snoop dog,Messi nk wake zao walitoka nao mbali tokea wakiwa wadogo hawana kitu,lkn hawa wa kuwapata baada ya kupata kibunda 99% ni wadangaji wanakuigizia ili wazipige hela zako.
Labda achangia shangwe kiwanjani wakati hakim anasakata kabumbu 😀😀😀Roho mbaya tu wewe unadhani kulea watoto kazi ndogo pengine kachangia kwenye hizo Mali😬
Mshahara unaingia kwa jina la mama yake. 😀Lazima liwepo atake asitake ina maana anacheza mpira bure😬😁😁😁
Mkakati wa siri upi ungefaa maana inajulikanaga kikinuka ni kugawana mbao, sasa kwa Ashrafu mbao ziko kwa mama mkwe 🤣🤣🤣Dah huyo bibie nae aliishi nae vipi bila kuwa nae na mkakati wa Siri😬😬😬
Mtt mzuri kweli tatizo jambazi tuKuweka kumbukumbu sawa. Huyu ndio bibie mwenyeweView attachment 2587638
Na mama kamuandika mirathi mwanaeMtego uliomnasa Dani Alves, Hakimi kautegua kitambo sana, possibly hata ile kesi ya ubakaji inayomkabili Hakimi mchora ramani ni mkewe ili apate scapegoat ya kuombea talaka wagawane kilichopo...[emoji23] kaandikisha umiliki wa Mama halafu next of kin ni yeye mwenyewe as long as Mama yu'ngali hai hakuna tatizo.
"Akili ni mali sana".