Wanaume tungekua Kama ashraf hakimi,
Maisha yangekua Safi Sana[emoji4]
Shida ya bongo ndugu Wana roho mbaya Hawa tulozaliwa nao brother
Naweza fanya hvyo Mwisho bimkubwa akidanja wakijua watauza zotee au watataka tugawane tena pasu Kwa pasu
 
Ameshatangaza NDOA tayari, ni suala la muda tu.

Me nadhani siyo wote wenye tabia hizo chafu, nafuatilia Beckham na mkewe somebody Adam naona uzee unawanyatia, kama wana mazengwe basi yanaishia ndani huko.
Vicky anampenda David mnooo Yaani bidada ndo moyo wake ulipo
Kashawahi pata kashfa ya cheating ila walaa hakuyumba...same to Wayne Rooney na Hawa wameoa na kuolewa na waingereza wenzao
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Hahahah hii ndio ile maana ya "Ishini nao kwa akili"
 
Kutangaza na kufunga ni vitu viwili tofauti,Hawezi kufunga ndoa labda mama yake awe amekufa. Ronaldo anamsikiliza mama yake kuliko mtu yeyote hapa duniani.Mama yake alishakataa CR7 kufunga ndoa na Georgina.
Hahahahahah na hii ndio dawa yenu kama unanipenda tuishi tu ila kufunga ndoa hapana 🀣🀣🀣 hamkawilii kubadilikaga nyie
 
Mwanamke akikukubali na huna kitu unajua umepata mke kweli ila hawa wa mpenzi lazma anihudumie ni wezi by 100% ipo siku tutaelewana tu.
 
Naombeni kujuzwa kama mama yake mzazi mwenyekiti wa wanaume duniani Ashraf Hakimi ni single? Nimempenda sana huyu mama.
 
Na mama kamuandika mirathi mwanae

Akili ni mali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…