monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!Msimbe mweupe huyo
Mama yake hakim nae wakimuuliza pesa ziko wapi atasema pesa zipi
Mi nlimpa babu yake hachim[emoji1787][emoji1787
]
Achraf hakim [emoji116][emoji116][emoji116]
Maza Huna buku mbili hapo nikanunue nyanya kwa mangi [emoji1787][emoji1787]View attachment 2587419
Afu anayefata kucheza yuko na last cardInaitwa kulamba jokeri ndio huyo dada sasa
Mapenzi yanaambatana na pesa mzeeYatakuwa rahisi kwa sababu atakayekuja anatakiwe awe na mapenzi ya kweli,kama ana tamaa ya pesa ajiandae na maumivu[emoji3]
Gold digger unamjua tu kutokana na matumizi yakeMatukio haya machache yataweza kutumika kama sababu ya kupelekea Mabinti zetu kutoolewa siku za usoni kwamaana wote watahesabika kama Gold Diggers tu.
Wanasahau Samaki Mmoja akioza anatupwa ili kutofanya wote waoze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila usiwape wamama wa kibongo hawachelewi pelekwa kwa Mwamposa
Ndo unakuta mama ni kama mama mobeto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vicoba na Upatu amuachie nani??
Kwenye sherehe na shughuri mbna watamkomaa
Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna tafrani tupu.Ndo unakuta mama ni kama mama mobeto
Ni sahihi ila Vijana wanaweza kutumia mifano hiyo michache kuhamasishana kutokuoa.Gold digger unamjua tu kutokana na matumizi yake
Itakuwa mke aliona hakuna faida. Alichokitarajia hakukikuta.Ndo maana akaomba talaka akijua walau apewe chake mapema,kumbe ndo worse zaidi.Nadhani ubahiri wake pia umevunja ndoa,haiwezekani mali zote ziwekwe kwa jina la mamaake.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]ha ha ha.....Huyo mwanamke alipe gharama za kuendeshea kesi maana mwanetu hana kitu kabisa
Mkeka wa Megamix ya miaka 5 umechanwa na timu moja[emoji1787]Mkeka umechanika
🤣🤣🤣🤣 Aisee bonge la akili.
Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali.
Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote.
Inaelezwa kuwa mahakama imebaini Ashraf Hakimi alishaweka mali zake zote kwa jina la mama yake muda mrefu uliopita.
Kataaa ndoa ipo pale pale. Hawa mbwa ni kuwagegeda tuu na kuwatupa kule🤣🤣🤣🤣Vijana mnao oa katika zama hizi za .com kuweni makini sana, waolewaji wamegeuza ndoa kuwa miradi ya kupigia pesa na kuchuma mali.
Huyu anapewa umwenyekiti wakudumu kabisaHahaha jamaa kacheza sana, tunamkaribisha rasmi katika chama la wana team KATAA NDOA