Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Aibu nimeona mimi yani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada kakutwa na jambooo.
Uwiiiiiih.
Nimecheka hadi baas, huyu Ashraf mbayaa jamani lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu nimeona mimi yani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada kakutwa na jambooo.
Uwiiiiiih.
Nimecheka hadi baas, huyu Ashraf mbayaa jamani lol
Ameshatangaza NDOA tayari, ni suala la muda tu.... Ndo maana C.Ronaldo hataki kufunga ndoa na Georgina.
Kutangaza na kufunga ni vitu viwili tofauti,Hawezi kufunga ndoa labda mama yake awe amekufa. Ronaldo anamsikiliza mama yake kuliko mtu yeyote hapa duniani.Mama yake alishakataa CR7 kufunga ndoa na Georgina.Ameshatangaza NDOA tayari, ni suala la muda tu.
Me nadhani siyo wote wenye tabia hizo chafu, nafuatilia Beckham na mkewe somebody Adam naona uzee unawanyatia, kama wana mazengwe basi yanaishia ndani huko.
Yanaambatana lakini pesa isitangulieMapenzi yanaambatana na pesa mzee
Huyo anayeliwa mate ndiyo nani?.Mke wa Ashraf Hakimi ameiambia mahakama kua anahitaji talaka huku akiiomba mahakama kummpa fungo la Mali Yaani wagawe mali sawa sawa
Ashraf Hakimi alikubali kutoa talaka lakini mahakama ilipochunguza vizuri kwenye mali za Hakimi walikuta bwana mdogo Hamiliki kitu hata kimoja hata benki yake Hamna Hata shiling Mia [emoji848]
Ilikuja kugundulika kua Ashraf Hakimi alijua Kama hayo yatatokea Ndio akaamua Mali zake zote Yaaani pesa majumba Na gari viandikwe Kwa jina la Mama yake ili isemekane kua Mama yake Ndio mmiliki halali wa mali zake [emoji16][emoji16]
Tumejifunza nini hapo.View attachment 2587534View attachment 2587532View attachment 2587533
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
NAKAZIAHahaha jamaa kacheza sana, tunamkaribisha rasmi katika chama la wana team KATAA NDOA