Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] japo mi nimeolewa ila we jamaa kila nikiona hii comment yako nacheka hoi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii haimaanishi naunga mkono hoja yako sema tu unaniua mbavu na huu msimamo wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unacheka kwa sababu unajua unachomfanyia huyo ndugu yetu!
 
Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali.

Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote.

Inaelezwa kuwa mahakama imebaini Ashraf Hakimi alishaweka mali zake zote kwa jina la mama yake muda mrefu uliopita.

==============

Baada ya Hiba Abouk ambaye ni mke wa nyota wa Paris Saint-German, Achraf Hakimi kufungua madai ya talaka na kutaka Mahakama iamuru apewe nusu ya utajiri wa mumewe, imebainika kuwa Hakimi hamiliki mali yoyote licha ya kulipwa mshahara wa Euro Milioni 1 kwa mwezi.

Hali hiyo imetokea kwa kuwa Hakimi ameandikisha jina la mama yake (Mrs Fatima) katika mali zote na hata mshahara anaolipwa na PSG, 80% unaingia kwenye akaunti ya mama, hata anapotaka kununua magari, nyumba na thamani nyingine anamuomba mama yake amnunulie kwa jina lake.

Hiba Abouk mwenye umri wa miaka 36 alitarajia kupata nusu ya mali na utajiri wa Hakimi (24) ambao unakisiwa kuwa Euro Milioni 70.

====

PSG star, Achraf Hakimi’s wife fails to get divorce payout because he put assets in mother’s name

Paris Saint-German defender, Achraf Hakimi left his wife, Hiba Abouk, empty-handed and without any alimony following a divorce application she filed over allegations of infidelity.

She approached the court to seek the dissolution of their marriage and demanded half the football star’s property in divorce settlement, however, it was discovered that he had no assets.

Hakimi had registered all his properties and assets under his mother, Sadia Mouth’s name, so legally, he is not worth a dime on paper.

, PSG star, Achraf Hakimi’s wife fails to get divorce payout because he put assets in mother’s name

When Abouk, 36, took her 24-year-old husband to court, she expected to get an equal share of his €70 million upon separation, but she was informed that documents showed his assets all belong to his mum.

According to Stades Football Club; “Ashraf Hakimi’s wife had taken the court for a divorce case and wanted them to separate the assets and divide them in court.

When the divorce took place and they agreed to share the assets, they realized Ashraf Hakimi had no assets and neither did the bank. Ashraf Hakimi had put all his fortune in his mother’s name a long time ago.”

Hakimi who receives €1 million monthly started dating his wife in 2018 when he was 19 years and she was 31.

The star defender had earlier been accused of raping a woman he invited to his matrimonial home when his wife and the family were in Dubai.

The Morocco International is currently under investigation over the allegation.

Source: correctng
===============
Ashraf Hakimi’s wife files for divorce for the player’s properties only to find out that he has all his assets in his mother’s name

According to trending reports online, PSG Star Achraf Hakimi’s wife Hiba Abouk has filed for divorce from the football star for yet-to-be-identified reasons.

But unfortunately for her, when they arrived in court, they realized that Achraf Hakimi had nothing.

Achraf Hakimi had put his entire fortune under his mother’s name a long time.

According to sources, Hiba was informed by the court that her ‘millionaire’ husband owns nothing as all his property is registered under his mother’s name.

Hakimi receives €1 Million from PSG monthly but 80% of this is deposited in his mother Mrs Fatima’s account.

He has no property, cars, houses, Jewelry or even clothes in his name. Anytime, he wants anything, he asks his mother who buys it for him.

Meanwhile, both Hakimi and his estranged wife are yet to officially react to these trending reports.

The lack of assets may twist things and will possibly lead to a more prolonged and contentious court process.

Hakimi is 24, his wife is 36, and they’ve been dating since 2018 when Hakimi would be around 19 years old and the woman would be around 31 years old.

Source: myinfo
Aaaaahaaaa

Amecheza kama Pele
 
Kuweka kumbukumbu sawa. Huyu ndio bibie mwenyewe
20230414_160422.jpg
 
Sasa hivi ni hivo tu,hatutaki ujinga
 
Sio yule Emmanuel Eboue aliekuwa akipata mshahara wote anatuma kwa mkewe ndo aweke uwekezaji.Mwisho wa siku Emmanuel akapigwa talaka na kuambulia zero.Ashraf kweli Mungu alimuongoza,hawa warembo wengi wanakimbilia wacheza mpira sababu ya pesa. Ndo maana C.Ronaldo hataki kufunga ndoa na Georgina.
Kumbe ndiyo maana,

Cr7 help kwake
 
Ahhaaahah
Sio anampa yaani Hakim anatafuta mali zote zinakua kwa jina la mama yake hadi magari, na tayari mama ambae ni mmiliki kaandika mrithi wa mali hizo atakua hakim na ndugu zake wa kuzaliwa mchezo umeishia hapo
 
FtqpxUhX0AAzOAl

FtqXD-zX0AA9tlq

Ni mchezaji wa Klabu maarufu nchini ufaransa anaelipwa bilioni 2 na nusu kila mwezi kaweza kutuduwaza kwa kanzu aliyompiga mke wake mwenye tamaa ya mali alieingia kichwa kichwa.

Mke wake ni dhahiri alikuwa ni kundi hili hili la matapeli, binti huyo aliweza kumtega kijana kufunga nae ndoa, akasubiri miaka miwili ipite kisha akatafuta kisingizio ndoa ivunjike akitegemea kwamba anaenda kupewa mali kirahisi, lakini alichookutana nacho sijui ni hali ipi anapitia.

Baada ya kwenda mahakamani kudai pasu kwa pasu, hakimu akaweka nyaraka zinazoonesha kwamba mali zote za mchezaji huyo anaemiliki ni mama yake kuanzia majumba, magari na vitu vingine,.. mchezaji huwa akipokea mshahara anaweka kaiasi karibia chote kwenye account ya mama yake, yeye anachukua hela kidogo tu za matumizi na vitu vidogo.

Magari yake na nyumba zake ananunuliwa na mama yake, hivyo mali ni za mama yake na kwa lugha nyepesi huyo mke anaetaka mali hana chake, aondoke aende kupambana na maisha, mpango wake umebuma bum shakalaka.....
 
Mke wa Nyota wa PSG na timu yaTaifa ya Morocco, Achraf Hakimi aliwasilisha kesi ya talaka mahakamani baada ya mumewe kutuhumiwa kumbaka mwanamke wa miaka 24 na alitaka mgawanyo wa mali na utajiri wa mwanasoka huyo nusu kwa nusu.

Baada ya kufika mahakamani, waligundua kuwa Achraf Hakimi hakuwa na chochote hata senti, kwani utajiri na mali zote anazomiliki nyota huyo zilikuwa zimeandikwa kwa jina la mama yake mzazi kwa muda mrefu.(Soma post ndogo, uone sakata lilipoanzia)
Ukute hata huyo mbakwaji alitumwa na huyo mke wake
 
Jamaa sio bahili ila hiyo ni akili mingi
Sana Mkuu yani Hawa wanawake sjui wanatuchukuliaje hapo lingepata hizo mali linaanza harakat zao za feminism kua am strong single Lady na kuanz kuwadanganya na vimali vyake alivyopata kumbe ametapele hko fedha za mwanaume Yani Hawa basi
Huwa nawangalia najisemea moyon wanawake akili zao zote zipo kwenye K**** unakuta hata hivyo visalun wanavyo fungua ni Hela za wanaume kadanga Kahongwa anafungua kasalun Ananza am strong single Lady Yan Hawa,, it's better men going their own way
 
Sio yule Emmanuel Eboue aliekuwa akipata mshahara wote anatuma kwa mkewe ndo aweke uwekezaji.Mwisho wa siku Emmanuel akapigwa talaka na kuambulia zero.Ashraf kweli Mungu alimuongoza,hawa warembo wengi wanakimbilia wacheza mpira sababu ya pesa. Ndo maana C.Ronaldo hataki kufunga ndoa na Georgina.
Ima saizi hata sabuni ya kuogea hana 😀😀
 
Back
Top Bottom