Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali
Sio yule Emmanuel Eboue aliekuwa akipata mshahara wote anatuma kwa mkewe ndo aweke uwekezaji.Mwisho wa siku Emmanuel akapigwa talaka na kuambulia zero.

Ashraf kweli Mungu alimuongoza, hawa warembo wengi wanakimbilia wacheza mpira sababu ya pesa.

Ndiyo maana C.Ronaldo hataki kufunga ndoa na Georgina.
Wanawake kazi kweli Bora uzalishe usepe
 
Hatuombei lakini kwa mfano Mazee ndo anatangulia, HAKIMI ataweza kuwaeleza nduguze kuwa mali za mama zisigawiwe?

Kuwa ni zake na wala si za mama?
 
Hatuombei lakini kwa mfano Mazee ndo anatangulia, HAKIMI ataweza kuwaeleza nduguze kuwa mali za0 mama zisigawiwe?

LppĺKuwa ni zake na wala si za mama?

Mkuu kama kuna pesa inahusika lazima utata uondolewe mapema.
Mimi nimemjengea bi mkubwa wangu, tena hata sikukumbuka hilo swala unalosema. Lakini bi mkubwa mwenyewe kaandika kabisa, akindoka Duniani kila nilicholipia pesa zangu ni cha kwangu. Hakuna utata.
 
Back
Top Bottom