Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

Ndio tatizo la kuingia kwenye ndoa 1-0, mwenzako alishashinda mechi zake we unaanza game yeye yupo ahead kwa goli moja.
 
Ndio tatizo la kuingia kwenye ndoa 1-0, mwenzako alishashinda mechi zake we unaanza game yeye yupo ahead kwa goli moja.
Mwanzo mzuri wote muwe bila bila au wote mshafunga mabao.

Mambo ya kubebeshana mizigo, mwenzio ashatangulia hatua nyingi mbele halafu mnaanza kulaumiana hayafai.
 
Kama mzaz mwenzio hajafarik yupo mtafute mjue namna ya kumlea mtoto wenu kama bado yuko na umri mdogo unamuomba akae nae mpk akikua ndio umchukue. Ukifany hivi utamlinda mwanao pamoja na kuyalinda mahusiano yako
 
Hivi mwanamke kumkataa/kumchukia mtoto wako uliyezaa kabla ya kumuoa. Kuna mapenzi hapo? Yaani hampendi Mwanao je wewe atakuwa anakupenda kweli?
Na hapo huyo ulimpata kabla ya ndoa! Je, ukichepuka na kumpata wa ndani ya ndoa si anaweza kumuua kabisa!! Hafai. Ana roho mbaya. Na kwa nini amchukie mtoto. Mtoto ana kosa gani? Kama ana chuki kweli basi anatakiwa akuchukie wewe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah huo mtihani na vile baba ana mkingia kifua na jeuri yake nisingehangaika naye vitu vingine huwa ni kutesana na kupeana lawama, Mimi ka huyo na ujeuri wake simtaki asije haribu wanangu na tabia zake na WA hvo analishwa sumu ya baba na mama.
 
Uko sahihi mtoto wa kambo ni heri yule uliyeletewa akiwa mchanga na mama kafa, ila toto kubwa halafu mamake awe mkorofi lazima awe mwiba na sumu kwenye ndoa yako
 
Hana unafiki ni roho nyeusi imemjaa tu,sasa mtoto usiyemzaa wewe ukimlea ipasavyo unapungukiwa na nini?
[emoji23][emoji23]wewe ndio una roho ngumu nilikutuma ukatombe hovyo then uniletee mwanao nilee why starehe zako zitese wengine, Yani kulea watoto wasio kuhusu Mimi ni ophanage centre [emoji23][emoji23][emoji23] huo mda wa kulea heri nitafte hela kwa bidii nijipe furaha na vacation sehemu kubwa ka Hawaii, Maldives na kwingineko sio kujitia mama huruma never. Jifunzeni kuwe responsible na matendo yenu tena nyie ndio mnaozaa majambazi na chokoraa maana mnashindwa kulea watoto kazi yenu ni kufunua tu chupi
 
Nikifikiria ninavyonyoosha watoto kwenye mstari,mtu akiniletea watoto wake si ataona nawanyanyasa[emoji1787],kumbe wala!

Kila mtu ashinde na mechi zake.
Uko sahihi kabla ya kuleta watoto jamani tufikirie na hatima zao na malezi hasa kwa dunia ya Sasa watu wengi upendo hamna na majukumu ya kutafta hela ikiwa kipaumbele.
 
Hivi Mimi mfano nafanya kazi I want to spoil my kid's na vitu vizuri then nisiwanunulie eti kisa mtoto mwingine atanuna huku mama yake alimkimbia na hajawahi mnunulia mwanawe hata chupi yet mimi mke halali nilaumiwe kuwa ni mchoyo na mbinafsi Kwa vitu visivo ni husu kweli?

By the way charity begins at home siwezi kuacha kuwajali niliowaweka tumboni nihangaike na mwingine never
 
Ndio tatizo la kuingia kwenye ndoa 1-0, mwenzako alishashinda mechi zake we unaanza game yeye yupo ahead kwa goli moja.
[emoji23][emoji23][emoji23] hafu unategemea kuwa na fair match kweli?
 
Nyie ndio wale wachawi mnaoua watoto wa wenzenu kwa sumu na vipigo.
 
Roho mbaya gani zaidi ya nyie mnaozaa hovyo nakutesa watoto bila plan Kwa ku force wanenu wapendwe kinguvu!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wakomalie hivyo hivyo
 
Mwanzo mzuri wote muwe bila bila au wote mshafunga mabao.

Mambo ya kubebeshana mizigo, mwenzio ashatangulia hatua nyingi mbele halafu mnaanza kulaumiana hayafai.
[emoji23][emoji23][emoji23] hafu hawataki kuoa single mother Ili ndoa iwe droo wao wanataka ambao hawajazaa waanze kusema hupendi watoto wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…