Mke wangu hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi. Nifanyeje?

Pole kumbe tuko WENGI!
Tutafika tu ...
 

Eti unamhangaikia mwanamke yote haya na kumlisha, fucken kabisa, ujinga
 
Puuz
 
Kama anatumia njia za kupanga uzazi basi inaweza kuwa ni sababu moja wapo,

Au kama ulikua ubampiga matukio inawezekana hisia zake kwako zimeisha,

Kaeni chini mzungumze

Ila sex inachosha aiseee kuolewa nako ni mtihani
 
siyo wa kwako tafuta chaguo sahh kwa jili yako
 
Kuna mambo huwezi kuyaelewa mpaka uwe umeshiriki. Kuna wakati katika maisha niliwahi kutoka na mke wa mtu, yule mwanamke baada ya muda fulani akawa hana hamu tena na mume wake! Na akawa ana mizozo ya hapa na pale, na akawa naniambia hana hamu tena na mumewe na hakumbuki mara ya mwisho kumpa tendo ni lini.

Ipo hivi broh! Omba sana mke wako asianzishe mahusiano na mwanaume mwengine, na asitokee mwana saikolojia akakudanganya kuwa labda humuandai vizuri wakati wa tendo, au mara humfikishi au mara hiki mara kile. Sababu pekee ambayo ni genuine ni mwanamke kuwa na mahusiano ya pembeni. Mwanamke anapokuwa katika wakati huo anahamisha kabisa mapenzi yake kwenda kwa huyo mtu na atakuona kama kituko tu kwake.

Kitu pekee tu cha kukushauri, kama utafanikiwa kumrudisha katika wakati aliokuwa nao kabla ya kubadilika, fanya hivyo ila kama utashindwa una machaguo mawili tu, uishi nae katika hali hiyo hiyo au uachane nae, lakini ukweli mmoja tu ambao upo dhahiri ni kwamba kuna mwanaume anaemfurahia zaidi kwenye tendo kuliko wewe na anahisia nae za mapenzi kuliko wewe! Wewe anakuona kama unamkarahisha tu na kumchafua kwenye tendo.
 
ushauri wangu na niko serious kabisa wala sitanii. pamoja na ushauri mzuri uliopewa jaribu muda mwingi kufanya nae kazi za nyumbani pamoja kama anapika kaa jikoni uwe unasaidia. jaribu kama anafua nguo wewe uwe unasuuza na kuanika, kama anadeki wewe kunja nguo au nyoosha, najua unalo jukumu la kutafuta fedha pia jaribu hili na ufanye ndio utaratibu wako kufanta hata task moja pamoja na mkeo utakuja kuniambia kama hii shida itajirudia.
 
Unaweza kufanya hivyo ndio akakudharau wanawake wengi huwa hawana appreciation na mwisho akaona kama ni kitu cha kawaida, unatakiwa ufanye yote lakini usishiriki kwenye shughuli zote anazopaswa kufanya mwanamke.
 
Umenifungua akili ushauri wako nauchukua ikitokea nataka kuoa niufanyie kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…