Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

Pole,majibu hapo ni mawili, moja mkeo analiwa na walimwengu, mbili, unanuka mapumbu so anaona kinyaa, pole sana ndugu katika msoto wa mbunye
Nimeongea nae mara nyingi kirafiki na kwa upendo, hajawahi sema kuwa shida ni usafi wangu, ingekua ni hivyo, angesema na mimi ningejitahidi kubadilika, maana hilo linaweza badilika.
 
Huu uzi kama wa nne wwanaume wanalalamika hawapewi mbunye. Kitu gani kinaendelea mbona hamniambii wakuu? Isije ikafika kwangu pia [emoji23][emoji1]
Hapa ni kufurahishana tu.

Ugumu wa maisha vijana wa humu na stori wanazosimuliwa japo yapo hayo mambo.
 
Pole mkuu! Ni mke au mpenzi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…