Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

Pole sana yatapita.
 
Mbiguni upo sekta gani? Bila shaka unakaa jirani na malaika mkuu.
 
Dini hairuhusu. Sanasana nitatafuta kamchepuko kanakojielewa kawe kanamsaidia.
Dini gani hiyo inayokataza mke zaidi ya mmoja?,ukristo unaruhusu isipokuwa askofu ndo haruhusiwi kuwa na mke zaidi ya mmoja

1Tim 3:2-3​

Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha; si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha
 
Pole sana,

Huenda umri, uzito, majukumu, au afya inamsumbua.

Mtafutie safari nje ya mji, mkoa, mwende mkapumzike wewe na mkeo angalau kwa wiki moja, mfufue mapenzi yenu kama yalivyokuwa, utaona mabadiliko.

Kuambiwa "amechoka sana!" ni neno lenye maana pana, wewe ni mumewe, tumia hekima na busara zako sasa kuusoma ukurasa huo mpya wa akili za mkeo.
 
Huu uzi kama wa nne wwanaume wanalalamika hawapewi mbunye. Kitu gani kinaendelea mbona hamniambii wakuu? Isije ikafika kwangu pia [emoji23][emoji1]
Hahahahaha....

Huenda nyakati hazitumiki sawasawa kama ilivyokuwa zamani.
Wanawake wanahitaji kupendwa,
Wanaume tunahitaji kuheshimiwa.

Zingatia neno kupendwa,
Tusichoke kuwaonyesha upendo na mapenzi.
 
Wapare na wamachame hata uwapeleke U.S.A !
 
Akipata matokeo ya hiyo dawa usisahau kuja kutuambia.
 
Hapo kama Waislam unaongeza tu mke.

Uislam mwema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…