Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

Mpaka muda huu saa Saba ya usiku Mimi naamini Mwamposa anatumia nguvu za Giza kuvuta watu.
Sijawahi kuona muujiza wake na Kama Kuna anaye amini vingine aje anijulishe.
 
Usiku huu pia kuna tamasha la usiku wa sifa la Kanisa Katoliki pale uwanja wa uhuru! Kama Mwamposa pia yupo sijui itakuwaje huko ...
 
Leo uwanja wa Mkapa ni Mwamposa, alafu uwanja wa uhuru ni Kanisa Katoliki kuna usiku wa sifa limeandaliwa na umoja wa vyuo Karistimatiki Katoliki! Hilo eneo leo limetekwa [emoji2]
 
Inshort..ngapi ngapi huko?

Maana kuna bifu kubwa sana kwenye haya madhehebu.
 
Usiku huu pia kuna tamasha la usiku wa sifa la Kanisa Katoliki pale uwanja wa uhuru! Kama Mwamposa pia yupo sijui itakuwaje huko ...
Mmm kwanini nao wasipange siku tofauti? Kazi ipo !
 
Back
Top Bottom