Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze

2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji

3. Jafo Mbunge wa Kisarawe

4. Kipanga Mbunge wa Mafia

5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga

Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?

Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?
 
Kama wana uwezo na ni wa Tanzania ni sawa, tofauti na hapo tusiingie kwenye siasa za kidini na ukabila.

Sisi sote ni wa Tanzania, kikubwa tuangalie uwezo wa mtu na nafasi aliyowekwa, kuhoji wanatokea wapi ni kama uchochezi.
 
Hiyo regional representation ni ipi? Umehesabu kila mkoa wapo wangapi? Tukikimbilia regional representation tunaweza kukosa watu sahihi tukaishia kupata mabumunda.

Ningefarijika kuona ukisema labda flani hafai kwa sababu hizi na hizi badala ya kusema regional representation.
 
Back
Top Bottom