Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

Pwani oyeee

1. Dr. Jaffo - kisarawe
2. Mchengelwa - Rufiji
3. Ridhiwani - Chalinze
4. Ulega - Mkuranga
5.kipanga - Mafia

Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?

Rais Samia hapa washauri wamekubambika.
Mkoa mzima wa Mara hauna hata naibu Waziri, hii ni dharau kwa Hayati JK Nyerere
 
Pwani oyeee

1. Dr. Jaffo - kisarawe
2. Mchengelwa - Rufiji
3. Ridhiwani - Chalinze
4. Ulega - Mkuranga
5.kipanga - Mafia

Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?

Rais Samia hapa washauri wamekubambika.
Enzi zile sasa
1. Bitteko-home kabisa
2. Kalemani- Wa sebuleni
3. Mabula- wa nyumbani
Achana na hao wa Shinyanga sijataka kuwajumuisha.
 
Hiyo regional representation ni ipi? Umehesabu kila mkoa wapo wangapi? Tukikimbilia regional representation tunaweza kukosa watu sahihi tukaishia kupata mabumunda.

Ningefarijika kuona ukisema labda flani hafai kwa sababu hizi na hizi badala ya kusema regional representation.

Wakati wa gang hamkuyatetea ivo mlilaumu tu kwa style ile ile tena ya sio mkoa mlikua na slogan ya kanda ya ziwa kwa maana ukabila.
 
Pwani oyeee

1. Dr. Jaffo - kisarawe
2. Mchengelwa - Rufiji
3. Ridhiwani - Chalinze
4. Ulega - Mkuranga
5.kipanga - Mafia

Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?

Rais Samia hapa washauri wamekubambika.
Kuna yeyote unayedhani hafai hapo?
 
Hakuna palipo andikwa ulazima wa kila mkoa kutoa waziri.

Mwacheni mkuu wa nchi afanye anavyo jisikia maana tukisema tunahitaji katiba mpya mnaanza kumbwela mbweela
Huo ndio ujinga wa ninyi ma coconut msio ns akili timamu.
Mtaunga mkono hata mambo yenye makosa ya wazi.
 
Huo ndio ujinga wa ninyi ma coconut msio ns akili timamu.
Mtaunga mkono hata mambo yenye makosa ya wazi.
Hapo dawa pekee ni katiba itakayo mpunguzia madaraka yasiyo na ukomo rais .

Vinginevyo tutaendelea kupigana vijembe na kupingana kila sentensi hapa jamvini.
 
Hapo dawa pekee ni katiba itakayo mpunguzia madaraka yasiyo na ukomo rais .

Vinginevyo tutaendelea kupigana vijembe na kupingana kila sentensi hapa jamvini.
Mambo mengine ni common sense na kuweka Utaifa mbele.
Huhitaji katiba mpya ili ku exercise common sense.
 
Pwani Gang aka Sembe Gang Aka Zaramo Gang[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom