Jibu hoja siyo kutoa matusi ni mkoa gani kanda ya ziwa uliotoa angalau hata mawaziri wanne tu ?We mpuusi mbona unaendekeza ukabila? Kwamba watu wa pwani si watu? Kipindi cha mwendazake ulizungumza kuhusu usukuma? Kutawala Baraza la mawaziri?
Wanne wengi sana hata watatu tu.Jibu hoja siyo kutoa matusi ni mkoa gani kanda ya ziwa uliotoa angalau hata mawaziri wanne tu ?
Basi tu ni kwa sababu za hapa na pale wangeteuliwa wangazija wa chumbe.1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze
2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji
3. Jafo Mbunge wa Kisarawe
4. Kipanga Mbunge wa Mafia
5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga
Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?
Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?
Mkuu kumbuka wasukuma wana mikoa mitano. Hivyo akiteuliwa waziri mmoja toka kila mkoa itaonekana ni wengi.Mmeanza kutafuta chochoko,
Enzi zile mbona Baraza lilijaa wasukuma na hatukusema[emoji4]
Hata kama alichukua mikoa tofauti lakini ni wasukuma ndio aliwajaza, wengine tuliona haikuwa poa.Jibu hoja usilete utoto hapa. Ni wapi mkoa mmoja wa usukumani ulitoa mawaziri watano ?
Nonsense! !! Unataka kumtumia baba wataifa kulinda hoja yako! Ushindwe na ulegee. Nakemea kwa jina jamuhuri! !Regional Representation ni tunu adimu aliyoitumia baba wa Taifa kujenga umoja na mshikamano.
Tusipo enzi hilo hali ya South Sudan itatunyemelea
Taja aliowajaza. Vinginevyo wewe ni mburula tu unayesumbuliwa na wengeHata kama alichukua mikoa tofauti lakini ni wasukuma ndio aliwajaza, wengine tuliona haikuwa poa.
Naona ninakukera sana umeanza kupandwa na jazba.Taja aliowajaza. Vinginevyo wewe ni mburula tu unayesumbuliwa na wenge
Sasa hapo mliotaja ni mkoa mmoja?Jibu hoja siyo kutoa matusi ni mkoa gani kanda ya ziwa uliotoa angalau hata mawaziri wanne tu ?
Akili zenyewe za kututoa kwenye reli ndiyo hiziSukumas wanatoka kwenye reli taratiibu, kwa Sasa wameingia njia ya vumbi. Na mvua zimeanza lazima mzame kwenye tope shubaamitt