masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Mikoa iko 26.Baraza lina mawaziri na manaibu wangapi ?? Mgawanyiko wao kikanda upoje na mapendekezo yako ni yapi ili mh asidanganywe ??
Zaramo GangUzi kama huu ulishawekwa hapa mkuu...
Thread 'Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?' Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?
Kwahiyo mapendekezo yako kila mkoa utoe wa wili sio ?? Halafu baada ya hapo tutakuja na ishu ya makabila, kuna wengine watasema kuna makabila hayaja chaguliwa, nkMikoa iko 26.
Nimehesabu nafasi za Uwaziri au Naibu Waziri 51.
Sasa hapo mtu hawezi kushindwa kucheza na matrix ya kujenga utaifa.
Pwani oyeee
1. Dr. Jaffo - kisarawe
2. Mchengelwa - Rufiji
3. Ridhiwani - Chalinze
4. Ulega - Mkuranga
5.kipanga - Mafia
Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?
Rais Samia hapa washauri wamekubambika.
Mbeya wapo wangapi...?!Tulilaumu, tena sana.
Limetoka Sukuma Gang, sasa limeingia Zaramo Gang.
Mkoa mzima wa Mara hauna hata naibu Waziri, hii ni dharau kwa Hayati JK NyererePwani oyeee
1. Dr. Jaffo - kisarawe
2. Mchengelwa - Rufiji
3. Ridhiwani - Chalinze
4. Ulega - Mkuranga
5.kipanga - Mafia
Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?
Rais Samia hapa washauri wamekubambika.
Enzi zile sasaPwani oyeee
1. Dr. Jaffo - kisarawe
2. Mchengelwa - Rufiji
3. Ridhiwani - Chalinze
4. Ulega - Mkuranga
5.kipanga - Mafia
Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?
Rais Samia hapa washauri wamekubambika.
Hakuna palipo andikwa ulazima wa kila mkoa kutoa waziri.Ielewe mada, mikoa iko 26 katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Moshi wako wangapi? Ndio maana nchi haiengelei, tunakuwa na viongozi wasio na utamaduni wa maendeleoMkuu, hawa wanne walikuwepo, jana kaongezwa mmoja naona ndio imeleta nongwa! Shida ni Pwani au ni huyo aliyeongezwa?
Hiyo regional representation ni ipi? Umehesabu kila mkoa wapo wangapi? Tukikimbilia regional representation tunaweza kukosa watu sahihi tukaishia kupata mabumunda.
Ningefarijika kuona ukisema labda flani hafai kwa sababu hizi na hizi badala ya kusema regional representation.
Ulitaka liitwe sukuma gang?Zaramo Gang
Kuna yeyote unayedhani hafai hapo?Pwani oyeee
1. Dr. Jaffo - kisarawe
2. Mchengelwa - Rufiji
3. Ridhiwani - Chalinze
4. Ulega - Mkuranga
5.kipanga - Mafia
Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?
Rais Samia hapa washauri wamekubambika.
Huo ndio ujinga wa ninyi ma coconut msio ns akili timamu.Hakuna palipo andikwa ulazima wa kila mkoa kutoa waziri.
Mwacheni mkuu wa nchi afanye anavyo jisikia maana tukisema tunahitaji katiba mpya mnaanza kumbwela mbweela
Jumanne Sagini ( Naibu Waziri mambo ya ndani, Mbunge Butiama )Mkoa mzima wa Mara hauna hata naibu Waziri, hii ni dharau kwa Hayati JK Nyerere
Hapo dawa pekee ni katiba itakayo mpunguzia madaraka yasiyo na ukomo rais .Huo ndio ujinga wa ninyi ma coconut msio ns akili timamu.
Mtaunga mkono hata mambo yenye makosa ya wazi.
Enzi zile sasa
1. Bitteko-home kabisa
2. Kalemani- Wa sebuleni
3. Mabula- wa nyumbani
Achana na hao wa Shinyanga sijataka kuwajumuisha.
Shukrani kwa ufafanuzi mkuuJumanne Sagini ( Naibu Waziri mambo ya ndani, Mbunge Butiama )
Nahisi sikuliona hili jina katika pita pitaJumanne Sagini ( Naibu Waziri mambo ya ndani, Mbunge Butiama )
Mambo mengine ni common sense na kuweka Utaifa mbele.Hapo dawa pekee ni katiba itakayo mpunguzia madaraka yasiyo na ukomo rais .
Vinginevyo tutaendelea kupigana vijembe na kupingana kila sentensi hapa jamvini.