NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
We haujui mchakato wa kudai Uhuru ulianzia pwani halafu nyerere akabaka mchakato akitokea seminarini kwa waroma??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza gumu mtoto wa kiume wewe.Tulilaumu, tena sana.
Limetoka Sukuma Gang, sasa limeingia Zaramo Gang.
Jafo naye ni Dr siku hizi?Pwani oyeee
1. Dr. Jaffo - kisarawe
2. Mchengelwa - Rufiji
3. Ridhiwani - Chalinze
4. Ulega - Mkuranga
5.kipanga - Mafia
Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?
Rais Samia hapa washauri wamekubambika.
In your tone Zalamo GangTulilaumu, tena sana.
Limetoka Sukuma Gang, sasa limeingia Zaramo Gang.
Wa Shinyanga kina naniEnzi zile sasa
1. Bitteko-home kabisa
2. Kalemani- Wa sebuleni
3. Mabula- wa nyumbani
Achana na hao wa Shinyanga sijataka kuwajumuisha.
Kuna mikoa 31 mzeeIelewe mada, mikoa iko 26 katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mikoa ipo 31Mikoa iko 26.
Nimehesabu nafasi za Uwaziri au Naibu Waziri 51.
Sasa hapo mtu hawezi kushindwa kucheza na matrix ya kujenga utaifa.
Hiyo mbaya zaidi.Kuna mikoa 31 mzee
Hivi Jumanne Sagini anatoka Burundi?Mkoa mzima wa Mara hauna hata naibu Waziri, hii ni dharau kwa Hayati JK Nyerere
Lete takwimu halafu linganisha na cabinet iliyopita ili uweze kufanya analysis nzuriMama ana udini sanaaa...
Kajaza waislamu kibao
Umeandikwa wapi huo utaratibu. Tubandikie hapa tuuone.Yaani ule utaratibu wa kuhakikisha kila mkoa unatoa Waziri, bado upo??
Au umeshanajisiwa na chama la wana!?
Mbona mnang’ang’ania kwamba tuna mikoa 26? Mikoa mitano mnaipeleka nchi gani? Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina mikoa 31.Tuna mikoa 26!na wizara zaidi ya 30,na nafasi manaibu zaidi ya 30,kila mkoa ungeweza kuwa na nafasi za uwaziri kuanzia mbili.mama kachemka
Alete analysis tuone siyo hayo tu. Kabla ya jana Pwani ilikuwa nao 4 sikuona neno, leo kaongezeka mmoja imekuwa shida. Mbona kuna sehemu zingine wameongezeka?Mbona kama umepanic sana,yani hujibu hoja ya [mention]masopakyindi [/mention] unaanza kumletea hadithi za yeye kuwa legendary tena,au ndiyo nyinyi wa Pwani mmeguswa kidogo tu mnacharuka kama mmetiwa ndimu.
Uzuri watu wa pwani hawana shida na mtu, na wala hawana tabia ya kujirundikia miradi ya maendeleo ktk maeneo yao. Hivyo acha waendelee . Hata ingekuwa nusu ya baraza zima ni sawa tu.Pwani oyeee
1. Dr. Jaffo - kisarawe
2. Mchengelwa - Rufiji
3. Ridhiwani - Chalinze
4. Ulega - Mkuranga
5.kipanga - Mafia
Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?
Rais Samia hapa washauri wamekubambika.