Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

N



Sasa hivi ni zamu ya Coastal Gang! teh, teh, teh, teh, teh!
 
Mwanza inao watatu mzee: Tax Bamwenda, Mabula na Masanja (Naibu). Mtaangamia kwa kukosa maarifa!
 
Mlisema Wa Mpito Tumetafuta Kwenye Katiba Hatukuona Palipoandikwa
 
Hivi Pinda ni WA wapi
 

Maana baraza lina waislam wengi
 
Kwa hili la Jenister hapana, sijui amewahi kufanyia taifa hili nini kila wizara alipopita
 

Mimi ninashida na juma ulega ni hayo tu

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Visiwani wametoka wangapi?
 
Mama amedhiilisha kwamba kuna mtu anayemuongoza na si mwingine bali ni Kikweta,na yale mafumbo ya Nape yamedhihirika kama CCM ina wenyewe,aibu kubwa sana kwa selikari
 
Katiba mbovu sana. Kama Kenya Rais anateua mawazili kwa kubalance Kanda na jinsi ipo kwenye Katiba. Hiyo ndio picha halisi ya utaifa kuwakilishwa. Sasa huyu mama yeye anaangalia 2025.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Weweee! Usitufananishe na Kenya sisi, hapa hatuna mambo ya ukabila, kwani waziri akiwa wakabila au kanda yako itakuwaje. Piga kazi jombaa achamambo ya ukanda
 
Hebu tupe idadi ya kanda ya ziwa
Kanda ya kaskazini.
Kanda ya nyanda za juu kusini...

Hizi siasa za kifala, watoto wetu watakuja kutudharau sana
Tanzania ina mikoa karibu 30, mawaziri ni kama 60. Mkoa mmoja kutoa 5 na mingine kuambulia 0, kilio cha ubaguzi, udini, ukanda, ukabila kitasikika. Na hasa katika nchi ambayo bunge limefunikwa na serikali, na kiongozi serikalini ana uamuzi wa kuhamisha fungu la mradi wa maendeleo toka eneo moja kwenda eneo jingine.
 
Weweee! Usitufananishe na Kenya sisi, hapa hatuna mambo ya ukabila, kwani waziri akiwa wakabila au kanda yako itakuwaje. Piga kazi jombaa achamambo ya ukanda,ila kwenye issue ya katiba tupo pamoja.
 
Pwani oyeee

1. Dr. Jaffo - kisarawe
2. Mchengelwa - Rufiji
3. Ridhiwani - Chalinze
4. Ulega - Mkuranga
5.kipanga - Mafia

Hivi siku hizi uongozi wa nchi hakuna regional representation?

Rais Samia hapa washauri wamekubambika.
Sidhani kama regional representation ni kitu official bali kilianzishwa na Mkapa ili apate political support kubwa pande zote za nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…