fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Tabora kuna tumbaku,kuna pamba,kuna mpunga,kuna karanga,kuna asali,kuna mihogo,kuna mbao hata fursa za utalii ni nyingi tu,mfano kuna barabara ya watumwa kutoka tabora hadi itigi,kuna kaze hill ambapo kuna pango la nyungu ya mawe,makao na mtemi fundikira,na kuna nyumba ya watumwa.Kuna historia ya tabora boys na tabora girls.Kuna historia ya mcheza mpira no 10 bora kabisa Tanzania,Abdallah Nyanya ambae alienda Simba na kumuweka bench abdallah kibaden,hadi alipofanyiwa mazingaombwe na kuehuka.Tabora kuna vitu vingi tuOfcoz Yes Tabora ina fursa chache sana , wenwenyewe si unaona unataja tumbaku tu hakuna kingine
Wanaolima ni kina nani?Anazungumzia wenyeji
Hapo kwenye mpunga unatupanga niambie unalimwa wilaya ipiTabora kuna tumbaku,kuna pamba,kuna mpunga,kuna karanga,kuna asali,kuna mihogo,kuna mbao hata fursa za utalii ni nyingi tu,mfano kuna barabara ya watumwa kutoka tabora hadi itigi,kuna kaze hill ambapo kuna pango la nyungu ya mawe,makao na mtemi fundikira,na kuna nyumba ya watumwa.Kuna historia ya tabora boys na tabora girls.Kuna historia ya mcheza mpira no 10 bora kabisa Tanzania,Abdallah Nyanya ambae alienda Simba na kumuweka bench abdallah kibaden,hadi alipofanyiwa mazingaombwe na kuehuka.Tabora kuna vitu vingi tu
Mimi ni mtu wa Mtwara ila kusema Tabora ni mgumu kwa utafutaji ni uongoMnyamwezi tulia usi panic kwa matusi hoja hujibiwa kwa hoja
Nimefika pote huko na mikoa mingine mingi tu,Nafuu Mtwara Lindi na Singida , Tabora is worse
Nzega, Urambo, Kaliua, kote huko mpunga unalimwa...Hapo kwenye mpunga unatupanga niambie unalimwa wilaya ipi
Point yangu ni kwamba kwa Tanzania ndio inaongoza kwa ugumu wa maishaMimi ni mtu wa Mtwara ila kusema Tabora ni mgumu kwa utafutaji ni uongo
Ila tukubaliane kwa hapa Bongo Tabora ndio mkoa mgumu kutoboa kimaisha , ndio mkoa unaoongoza kwa umaskiniNzega, Urambo, Kaliua, kote huko mpunga unalimwa...
Tabora ni kimbilio la nyinyi waha...
Tunawaajiri kwenye mashamba ya tumbaku...
Umepita Igunga na nzega barabarani ukaona Tabora yote iko hivyo sio?
Sio kweli mkuuPoint yangu ni kwamba kwa Tanzania ndio inaongoza kwa ugumu wa maisha
We unafikiri mkoa gani ni mgumu ukitoa TaboraSio kweli mkuu
Zanzibar, kilwa, rufiji, tabora....afu kweli aseeππππMiji yote aliyopita mwarabu kama kuna kalaana fulani ivi.
Mpunga unalimwa nzega,manonga,nata na bondevla mwanzugi,angalia mashine za kukobia mpunga zilivyojipanga kuanzia,nata,tinde madkati ya fisi,ingia ndani bukene,mambali na hata sehemu za igunga kuja mwisi.Hakuna nachokupanga hapa huo mkoa nimeutembea wote najua kila kitu kuhusu mkoa huo.Sasa njoo ubishe kingine nikufunulie dataHapo kwenye mpunga unatupanga niambie unalimwa wilaya ipi
Mkoa wenye dhahabu,wenye kilimo cha mazao na biashara useme ni maskini,acha fiksiIla tukubaliane kwa hapa Bongo Tabora ndio mkoa mgumu kutoboa kimaisha , ndio mkoa unaoongoza kwa umaskini
Hiyo profile picha ni yako ?Zanzibar, kilwa, rufiji, tabora....afu kweli aseeππππ
Eeh nilisahau na Kondoa mweeh!ππππ
ma professor tunakimbilia vijijini kwenda kuzalisha utajiri usio na kifani ila vijana wanakimbilia mijini kwenda kufanya kazi pundaAlipata kutamka mwanazuoni mmoja kutoka katika nchi ya ugigikoko ya kuwa "MUNGU NIFUNDISHE KUNYAMAZA " by Intelligent businessman
Lakini Associate Proffessor kutoka chuo cha wanazuoni mtambuka hapo hapo nchini ugigikoko bwana chai ya rangi yeye akapata kusema usilolijua sawa na usiku wa kiza
kama umembea mikoa yote ya hapa bongo Tabora na Manayara ndio inaongoza kwa umaskini . Ndio maana sehemu kubwa ya ardhi ni mapoli sehemu ya makazi ni ndogoMpunga unalimwa nzega,manonga,nata na bondevla mwanzugi,angalia mashine za kukobia mpunga zilivyojipanga kuanzia,nata,tinde madkati ya fisi,ingia ndani bukene,mambali na hata sehemu za igunga kuja mwisi.Hakuna nachokupanga hapa huo mkoa nimeutembea wote najua kila kitu kuhusu mkoa huo.Sasa njoo ubishe kingine nikufunulie data
Kwanini unyamaze kama una la kusema kunyamaza sio sifa , na kuzungumza kama hauongei la maana ni upumbavu . Kwahiyo huyo mwanazuoni wako kachemkaAlipata kutamka mwanazuoni mmoja kutoka katika nchi ya ugigikoko ya kuwa "MUNGU NIFUNDISHE KUNYAMAZA " by Intelligent businessman
Lakini Associate Proffessor kutoka chuo cha wanazuoni mtambuka hapo hapo nchini ugigikoko bwana chai ya rangi yeye akapata kusema usilolijua sawa na usiku wa kiza
Ishu ni kukimbilia sehemu sahihi na sio Tabora , nenda Mbeya , Mwanza , Morogoro utafanya maendeleoma professor tunakimbilia vijijini kwenda kuzalisha utajiri usio na kifani ila vijana wanakimbilia mijini kwenda kufanya kazi punda
Kaka mkubwa kumuelewa mtu ambaye ni professor inahitaji akili nyingi sana sasa itakuwa hawa wanazuoni ndiyo tabu tupu .Kwanini unyamaze kama una la kusema kunyamaza sio sifa , na kuzungumza kama hauongei la maana ni upumbavu . Kwahiyo huyo mwanazuoni wako kachemka