Venturimeter
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 251
- 599
Uachage kukaririshwa vitu. Try to do thy own simple research. Tumia search engine e,g. Google utajua hujui umri wa marehe
Endelea kuiamini search engine, kizazi Cha chatgptUachage kukaririshwa vitu. Try to do thy own simple research. Tumia search engine e,g. Google utajua hujui umri wa marehemu!!!
Hizo ulizoziraja ni Agency nyingi zina jipangia salary zake. Miye nimetaja yale maslai ambayo anayo kila mwezi. Bila kugusa makandokando ya nje. Ndiyo maana nikasema anawamudu hao watoto wooote bila shida.Hv unataka kuniambia Tanesco wana special salaries tofauti na mashirika mengine km TPA, TRA, TBA, TTCL, TARURA, TANROANDS n.k? Watz kibao kwa sasa hawana Ajira halafu mtu amefikia umri wa kustaafu @ 60 yrs bado walikuwa wanaendelea kwa mkataba...why?
Mkurugenzi kumbe naye alisha staff he was 63 yrs na dreva was 61 yrs watu wamesha xeeka wanatakiwa wakalee wajukuu bado wamengangana na kazi kuendesha gari usiku wa ma8 @ 63 and 61 respectively. Hapa kuna matatizo ya kujitakia.
Kuzaa ni ujinga?alishawahi kukuomba pesa ya kutunza hao watoto?Msomi mjinga
Ninyi watu!!Kuzaa ni ujinga?alishawahi kukuomba pesa ya kutunza hao watoto?
Apana mkuuuMshahara wa mkurugenzi unaujua lakini?
Basi kausha tuApana mkuuu
waafrika ni wapuuzi! Donald Trump huwa anasema ukweli khs mtu mweusi.Ni jambo la ajabu na kushangaza kwamba habari kubwa zaidi ya mtu aliyeyekuwa anaongoza kampuni yenye ukubwa wa zaidi wa Trillion 1 alipofariki ni kuacha watoto 15.
Katika jamii inayojielewa jaikapuswa kuwa hivyo, legacy kubwa haikupaswa kuwa ufyatuaji bali legacy iliyotakiwa kusambaa na kuwa habari kubwa zaidi ni idadi ya Watanzania waliopata umeme akiwa CEO, utulivu na upatikanaji wa uhakika wa umeme, kupungua kwa ufisadi, kuongezeka ufanisi, kupungua kwa gharama za umeme n.k
Bosi Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Nyamo Hanga aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15 i
View attachment 3306131
Vijana wengi wa bongo hawana nguvu za kiume,Ni jambo la ajabu na kushangaza kwamba habari kubwa zaidi ya mtu aliyeyekuwa anaongoza kampuni yenye ukubwa wa zaidi wa Trillion 1 alipofariki ni kuacha watoto 15.
Katika jamii inayojielewa jaikapuswa kuwa hivyo, legacy kubwa haikupaswa kuwa ufyatuaji bali legacy iliyotakiwa kusambaa na kuwa habari kubwa zaidi ni idadi ya Watanzania waliopata umeme akiwa CEO, utulivu na upatikanaji wa uhakika wa umeme, kupungua kwa ufisadi, kuongezeka ufanisi, kupungua kwa gharama za umeme n.k
Laana kivipi wakati tumeambiwa tukaijaze dunia?Kwa wakristo watoto wengi ni laana wao,
Kwa waislam ni baraka
Kwa wakristo watoto wengi ni laana wao,
Kwa waislam ni barak
Siyo kweli. Hizo ni Agency au Taasisi za Serikali na mishahara yao lazma iendane na scales za Serikali. Ati Tanesco ipo Tanganyika nzima ndo kigezo cha Mkurugenzi kuwa na mapato makubwa...seriously!!!?? You must be joking my friend! Unatetea kitu uscho kijua!Hizo ulizoziraja ni Agency nyingi zina jipangia salary zake. Miye nimetaja yale maslai ambayo anayo kila mwezi. Bila kugusa makandokando ya nje. Ndiyo maana nikasema anawamudu hao watoto wooote bila shida.
Alafu ukumbuke Tanesco ipo Tanganyika nzima hata akijipangia kazi kijijini kwao atasema yupo kwenye majukumu ya kiofiso.
naamini hata wewe ni mpuuzi wa kiafrikawaafrika ni wapuuzi! Donald Trump huwa anasema ukweli khs mtu mweusi.
JESUS IS LORD & SAVIOR