Mkurugenzi Rombo: Shule iliyoandikisha Wanafunzi Watatu hakuna imani za kishirikina ni maamuzi ya wazazi tu

Sawa mkuu, ila karibia 90% ya alichosema DED ndicho unachosema wewe.
 
Kilimanjaro shule nyingi ni private na wazazi wengi hupeleka watoto wao private
Sio ajabu Kilimanjaro takribani Kila Kijiji Kuna shule ya private
Hongereni Kilimanjaro kwa kujali elimu
 
Hii haujasaidia kitu. Taja jina la shule, Kijiji, kata, Wilaya.
Mkuu angalia post #28.
Hizo shule ziko Wilaya ya Moshi Vijijini.

Ni shule zenye miundo mbinu mizuri sana.
Lakini hazina wanafunzi.
Wakati mwingine inabidi wa merge ndio unakuta watoto wanafika 9.
 
Naam
 
Watu wa milimani wanaendekeza sana ushirikina na kustarehesha watalii mpaka hawataki kusoma.
🤣🤣🤣 Wengi wa Mlimani ndio wanajitahidi kuzaliana kuliko wa Tambarare kule Kilimanjaro.
 
Sema Rombo ulevi umezidi aisee...ni Wilaya Fulani hiv isiyo na future yoyote
Kwenu ndio hakuna future
Kilimanjaro hususani rombo takribani Kila Kijiji Kuna shule ya private na zahanati ya private hiyo Siyo future? Kilimanjaro asilimia kubwa tunasomesha private,sio ajabu shule za Kilimanjaro za serikali majengo kukosa watoto na kukaliwa na Popó,ninyi mnaozaana bila plan na watoto wenu kurundikana mashuleni darasa Moja watu 120 ndio hamna Future
Rombo Kaya takribani 98% Zina maji ya bomba na umeme na nyumba Safi, hiyo sio future?
Ulevi ni tabia ya mtu
 
Kwan kakosea wap?
Kilimanjaro Karibu Kila Kijiji Kuna shule ya private,na wengi wanasoma private,pia watu wengi WA Kilimanjaro wamesoma hivyo wanafanya kazi maeneo tofauti na hko na pia biashara kwani UONGO?
 
Umeamka na hangover
 
Wahaya oneni shule za wachaga huko kwao ni vibanda vya nyanya,wamekomaa na ulevi watoto wanalimishwa tu shule awapelekwi.
Hujui kitu,shule za umma Kilimanjaro hazina Díli badala yake ni private
Kilimanjaro Kila Kijiji Kuna shule ya private
Wahaya Hadi Léo huko kwao darasa Linakaa watoto 150 hiyo ndio elimu bora?
Kilimanjaro ni kama ulaya watoto wachache darasani elimu bora
 
Na sababu kubwa ni kwamba, Kilimanjaro watu wengi wanakimbilia mjini na mikoa mingine
Kilimanjaro watu wengi wamesoma hivyo wanafanya kazi nje ya huko
Pia ni wafanya biashara hivyo ndiyo factor kuu inayochochea mtawanyiko
Hakuna sehemu yoyote tz utamkosa MTU WA Kilimanjaro
 
Kilimanjaro Karibu Kila Kaya Kuna wasomi,na wanakaa nje ya hko hivyo mtawanyiko ni dhahiri
Pia Kilimanjaro Karibu Kila Kijiji Kuna shule ya private
 
Kilimanjaro kama ulaya vile
Sio kama kwa watani zetu Kagera darasa Moja Lina watoto 300[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…