Mkurugenzi Rombo: Shule iliyoandikisha Wanafunzi Watatu hakuna imani za kishirikina ni maamuzi ya wazazi tu

Mkurugenzi Rombo: Shule iliyoandikisha Wanafunzi Watatu hakuna imani za kishirikina ni maamuzi ya wazazi tu

UKWELI ni kwamba Kilimanjaro hakuna FURSA na maisha ni MAGUMUUUUU.

Mkoa hakuna anayehamia, isipokuwa kila siku wenyeji WANAHAMA. Huku ukikuta mgeni labda mfanyakazi na yeue anatafuta kuhama kila siku.

Huku wachagga wanarudi sikukuu na mwisho wa mwaka.

Pia, shule ni nyingi kutokana na Kilimanjaro ni kimkoa kidogo mnoooo.

Mfano halisi wa hiyo tarafa ya Mashati, ukubwa wake sehemu nyingine ni Kama KIJIJI tu
Sasa Ina kata 6, na kila kata ina sekondari na shule za msingi wakati hakuna watu, wakusoma


Kilimanjaro wanaobaki ni wazee tu na vijana wasio na pa kwenda, ambao wengi ni bodaboda.

Rombo pia kuna tatizo zito la.ulevi ambalo huyo DED anakwepa kulisema ili asiwaudhi wachagga, anawasifia eti wamesoma ndio maana Wana watoto wachache jambo ambalo ni UWONGO kabisa.

Ni kwamba narudia, watu wa Kilimanjaro wengi wako mikoa mingine na wtoto wao wanasoma huko.
Sawa mkuu, ila karibia 90% ya alichosema DED ndicho unachosema wewe.
 
Kilimanjaro shule nyingi ni private na wazazi wengi hupeleka watoto wao private
Sio ajabu Kilimanjaro takribani Kila Kijiji Kuna shule ya private
Hongereni Kilimanjaro kwa kujali elimu
 
Hii haujasaidia kitu. Taja jina la shule, Kijiji, kata, Wilaya.
Mkuu angalia post #28.
Hizo shule ziko Wilaya ya Moshi Vijijini.

Ni shule zenye miundo mbinu mizuri sana.
Lakini hazina wanafunzi.
Wakati mwingine inabidi wa merge ndio unakuta watoto wanafika 9.
 
Rombo mbona inajulikana watoto wake wamesambaa nchi nzima, asilimia kubwa ya familia za Rombo zinaishi mijini wakiongozwa na Dar es Salaam, na kutokana na wengi kuwa wafanya biashara wa kuanzia kipato cha chini , , watoto wao wanapendelea kupelekwa private wakiamini ndio kuna elimu Bora, na population ya huko wengi ni wazee waliostaafu, na vijana mashamba boy kutoka mikoa mingine, serikali ingezifanya shule za huko ziwe za boarding zipokee hata watoto kutoka zanzibar na Kanda ya ziwa maana huko kuna upungufu wa shule na watoto wanarundikana mashuleni.
Naam
 
Watu wa milimani wanaendekeza sana ushirikina na kustarehesha watalii mpaka hawataki kusoma.
🤣🤣🤣 Wengi wa Mlimani ndio wanajitahidi kuzaliana kuliko wa Tambarare kule Kilimanjaro.
 
Sema Rombo ulevi umezidi aisee...ni Wilaya Fulani hiv isiyo na future yoyote
Kwenu ndio hakuna future
Kilimanjaro hususani rombo takribani Kila Kijiji Kuna shule ya private na zahanati ya private hiyo Siyo future? Kilimanjaro asilimia kubwa tunasomesha private,sio ajabu shule za Kilimanjaro za serikali majengo kukosa watoto na kukaliwa na Popó,ninyi mnaozaana bila plan na watoto wenu kurundikana mashuleni darasa Moja watu 120 ndio hamna Future
Rombo Kaya takribani 98% Zina maji ya bomba na umeme na nyumba Safi, hiyo sio future?
Ulevi ni tabia ya mtu
 
Huo ndio ukweli.


Rombo hapakaliki, kila anaueweza anakimbilia sehemu nyingine kutafuta.

Huku wanabaki wazee na rejects.

Hata wanafunzi waliopo mostly utakuta wanakaa na mabibi zao.

Na kwasababu pia shulenni nyingi na watu hakuna.

Bora hata hiyo shule imepata watoto 3, Kuna shule nyingine inaitwa Mseta tarafa hiyo hiyo ya Mashati tena ilijengwa kwa msaada wa Kilimanjaro National Park, ilishafungwa muda kwa kukosa wanafunzi.

Huyo kilaza Chacha sidhani Kama hata anajua chocchote
Kwan kakosea wap?
Kilimanjaro Karibu Kila Kijiji Kuna shule ya private,na wengi wanasoma private,pia watu wengi WA Kilimanjaro wamesoma hivyo wanafanya kazi maeneo tofauti na hko na pia biashara kwani UONGO?
 
Kwenu ndio hakuna future
Kilimanjaro hususani rombo takribani Kila Kijiji Kuna shule ya private na zahanati ya private hiyo Siyo future? Kilimanjaro asilimia kubwa tunasomesha private,sio ajabu shule za Kilimanjaro za serikali majengo kukosa watoto na kukaliwa na Popó,ninyi mnaozaana bila plan na watoto wenu kurundikana mashuleni darasa Moja watu 120 ndio hamna Future
Rombo Kaya takribani 98% Zina maji ya bomba na umeme na nyumba Safi, hiyo sio future?
Ulevi ni tabia ya mtu
Umeamka na hangover
 
Wahaya oneni shule za wachaga huko kwao ni vibanda vya nyanya,wamekomaa na ulevi watoto wanalimishwa tu shule awapelekwi.
Hujui kitu,shule za umma Kilimanjaro hazina Díli badala yake ni private
Kilimanjaro Kila Kijiji Kuna shule ya private
Wahaya Hadi Léo huko kwao darasa Linakaa watoto 150 hiyo ndio elimu bora?
Kilimanjaro ni kama ulaya watoto wachache darasani elimu bora
 
Na sababu kubwa ni kwamba, Kilimanjaro watu wengi wanakimbilia mjini na mikoa mingine
Kilimanjaro watu wengi wamesoma hivyo wanafanya kazi nje ya huko
Pia ni wafanya biashara hivyo ndiyo factor kuu inayochochea mtawanyiko
Hakuna sehemu yoyote tz utamkosa MTU WA Kilimanjaro
 
Sababu zipo kadhaa, baadhi ni Wazazi wengi kuwapeleka Watoto wao kwenye Shule za binafsi, pia maeneo ya mipakani kuna Wazazi wanapeleka Watoto wao kwenda kusoma Kenya.

===== Huu ni UWONGOOOO.

Private Kuna wanaopeleka lakini ,ni wachache mnooo, na haina impact kubwa.

=======

Kwa kuwa tuna ujirani mwema kuna magari yanayokuja kubeba Wanafunzi wanaenda huko kusoma kisha jioni wanawarudisha.
======
Huu ni UWONGOOOO, UWONGO kabisa asilimia 200.

======

Sababu nyingine ni kuwa ‘population’ sio kubwa sana hapa na Watu wengi wamesambaa na wanasambaa hivyo kusababisha baadhi kuwahamisha Watoto wao pia.
======

Huu ndio ukweli HALISI,.

=====

Kingine ni kuwa Kilimanjaro watu wamesoma sana na hivyo suala la kuzaa Watoto wengi sio jambo linalopendelewa sana kama ilivyo maeneo mengine, watu wengi wana Watoto chini ya watatu au wawili.

=======

Huu ni UWONGOOOO UWONGO kabisa asilimia 5000.
Kilimanjaro Karibu Kila Kaya Kuna wasomi,na wanakaa nje ya hko hivyo mtawanyiko ni dhahiri
Pia Kilimanjaro Karibu Kila Kijiji Kuna shule ya private
 
View attachment 2869419
View attachment 2869420
View attachment 2869421

Angalia Umbali hizi shule zilipo tokea Moshi Mjini ambapo ndio makao makuu ya mkoa.
Ni karibu sana na Mjini.
View attachment 2869427
View attachment 2869430
Hao ni Darasa la 4 walioanza shule miaka 4 iliyopita means kuna baadhi ya hizo shule hazina Class One kwa sasa.

Wazazi wanaojitahidi kwa sasa Huko Kilimanjaro ni wale waliopo maeneo ya milimani.

Wao bado wanajuhudi za kuzaliana.
Kilimanjaro kama ulaya vile
Sio kama kwa watani zetu Kagera darasa Moja Lina watoto 300[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom