Mkurugenzi Rombo: Shule iliyoandikisha Wanafunzi Watatu hakuna imani za kishirikina ni maamuzi ya wazazi tu

UKWELI ni kwamba Kilimanjaro hakuna FURSA na maisha ni MAGUMUUUUU.

Mkoa hakuna anayehamia, isipokuwa kila siku wenyeji WANAHAMA. Huku ukikuta mgeni labda mfanyakazi na yeue anatafuta kuhama kila siku.

Huku wachagga wanarudi sikukuu na mwisho wa mwaka.

Pia, shule ni nyingi kutokana na Kilimanjaro ni kimkoa kidogo mnoooo.

Mfano halisi wa hiyo tarafa ya Mashati, ukubwa wake sehemu nyingine ni Kama KIJIJI tu
Sasa Ina kata 6, na kila kata ina sekondari na shule za msingi wakati hakuna watu, wakusoma

Kilimanjaro wanaobaki ni wazee tu na vijana wasio na pa kwenda, ambao wengi ni bodaboda.

Rombo pia kuna tatizo zito la.ulevi ambalo huyo DED anakwepa kulisema ili asiwaudhi wachagga, anawasifia eti wamesoma ndio maana Wana watoto wachache jambo ambalo ni UWONGO kabisa.

Ni kwamba narudia, watu wa Kilimanjaro wengi wako mikoa mingine na wtoto wao wanasoma huko.
Huu sasa ndio ukweli.
 
Kwamba watoto wengi wanaenda private??
Hapo wamesema kwa mwaka 2024 wameandikishwa watoto watatu tu! si 300!
1:Nasema huko wanakoandiksha watoto 300 darasa Moja ndio kwenye Shida
2:Naam Kilimanjaro private schools n nyingi takribani Kila Kijiji Kuna shule ya private na zahanati
3: Kilimanjaro watu wengi wamesoma hivyo wanafanya kazi nje ya mkoa HII inachochea mtawanyiko,wewe ni Shahid Kuna ofisi yoyote tz popote utamkosa MTU WA Kilimanjaro?
Au Kuna eneo lolote tz utamkosa mwana Kilimanjaro ?
 
Nyumbu ni wale mnaozaliana kama panya Hadi darasa linakuta Lina kaa watoto 300 hasa kwenu usukumani
Na ndio inasababisha mikoa yenu kuwa maskini
Kimkoa Kama Kijiji, kila siku migogoro ya viamba na kuchomana visu.
Mzae watoto wakae wapi?

Shukuru Mungu watu wikoa mnayotukana kila siku wamewakaribisha na kuwapa ardhi na sehemu za kuishi.

Nyumbuuu
Standard ya kuzaa ni watoto 3 Sawa Ngosha?
Sensa inaonesha average ni watoto 4, kwa kaya, hakuna tofauti na maeneo mengine
Kilimanjaro majumba mengi tumeajiri mashamba boy kutuangalizia maana wengi wamesoma na wanafanya kazi maeneo tofauti
Kilimanjaro hakuna majumba, Kuna nyumba tu za kawaida za kuishi na nyingine wahusika wanajenga kulinda vihamba baada ya kuchuma mikoa mingine
Pia biashara Kilimanjaro ina wafanyabiashra Kila pembe ya nchi,hakuna popote tz utamkosa mwana Kilimanjaro
Kwasababu Kilimanjaro ilitakiwa kuwa mbuga ya wanyama au mashamba ya kahawa na migomba.

Haifai kuishi.

Kati ya wachagga 10, nane wanakimbilia mjini na mikoa mingine.

Kukimbia kwenu maana yake hapakaliki
 
Kimkoa Kama Kijiji, kila siku migogoro ya viamba na kuchomana visu.
Mzae watoto wakae wapi?

Shukuru Mungu watu wikoa mnayotukana kila siku wamewakaribisha na kuwapa ardhi na sehemu za kuishi.

Nyumbuuu

Sensa inaonesha average ni watoto 4, kwa kaya, hakuna tofauti na maeneo mengine

Kilimanjaro hakuna majumba, Kuna nyumba tu za kawaida za kuishi na nyingine wahusika wanajenga kulinda vihamba baada ya kuchuma mikoa mingine

Kwasababu Kilimanjaro ilitakiwa kuwa mbuga ya wanyama au mashamba ya kahawa na migomba.

Haifai kuishi.

Kati ya wachagga 10, nane wanakimbilia mjini na mikoa mingine.

Kukimbia kwenu maana yake hapakaliki
🤣🤣🤣
 
1:Nasema huko wanakoandiksha watoto 300 darasa Moja ndio kwenye Shida
2:Naam Kilimanjaro private schools n nyingi takribani Kila Kijiji Kuna shule ya private na zahanati
3: Kilimanjaro watu wengi wamesoma hivyo wanafanya kazi nje ya mkoa HII inachochea mtawanyiko,wewe ni Shahid Kuna ofisi yoyote tz popote utamkosa MTU WA Kilimanjaro?
Au Kuna eneo lolote tz utamkosa mwana Kilimanjaro ?
Okay

Ila Nadhani content ya uzi ipo hapa pa kuandikisha watoto watatu tu Kwamba ni wachache sana unadhani shida itakua nini?? Huku wengine wakielezea sababu!
 
Kimkoa Kama Kijiji, kila siku migogoro ya viamba na kuchomana visu.
Mzae watoto wakae wapi?

Shukuru Mungu watu wikoa mnayotukana kila siku wamewakaribisha na kuwapa ardhi na sehemu za kuishi.

Nyumbuuu

Sensa inaonesha average ni watoto 4, kwa kaya, hakuna tofauti na maeneo mengine

Kilimanjaro hakuna majumba, Kuna nyumba tu za kawaida za kuishi na nyingine wahusika wanajenga kulinda vihamba baada ya kuchuma mikoa mingine

Kwasababu Kilimanjaro ilitakiwa kuwa mbuga ya wanyama au mashamba ya kahawa na migomba.

Haifai kuishi.

Kati ya wachagga 10, nane wanakimbilia mjini na mikoa mingine.

Kukimbia kwenu maana yake hapakaliki
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
1:Hatujakimbia Bali kusoma kwetu kwa wingi kumetufanya kuwa maeneo mbalimbali tz na nje ya nchi,ndio maana duniani huko ukienda ma nchi mengi tumo
2:Huwez kufananisha rate ya kuzaliana Kilimanjaro na usukumani,Sisi standard ni watoto 3 nyie ni 10 hii ndiyo sábabu hasa inayofanya mikoa yenu kuwa maskini Kila Siku
3: Kilimanjaro ni majumba sio vijumba , Kilimanjaro hâta MTU awe ulaya lazma ajenge hekalu,majumba mengi tumeajiri mashamba boy watuangalizie yaani kama ulaya vile,hâta watumishi WA umma tunawapa majumba bure watuangalizie,sio kama mikoani kwenu unakuta mtumishi WA umma hâta nyumba ya kupanga hapati,unakuta vijumba Vya slope tup
 
Kilimanjaro ni mkoa WA pili kwa maisha bora (watu wake kuwa na kipato kikubwa)Baada ya dar,pia ni mkoa WA 6 kuchangia GDP kubwa
 
Wahaya wamesoma sana lakini wanakaa kwao, kwasababu kunakalika.

Kwenu HAMTAKI.

Mnarudi tarehe 23/12- tarehe 26 baada ya Krismas mnatimkaa mbio bila kuangalia nyuma.

Nyambafu
2:Huwez kufananisha rate ya kuzaliana Kilimanjaro na usukumani,Sisi standard ni watoto 3 nyie ni 10 hii ndiyo sábabu hasa inayofanya mikoa yenu kuwa maskini Kila Siku
Rate ya kuzaliana Kilimanjaro haina tofauti kubwa na mikoa mingine. Ingawa huku wanawake wa kichagga hawawataki nyie walevi kwasababu mzigo wa kulea MMEWATELEKEZEA.

Juzi hapa nilikuwa ofisi ya Kijiji, msheku mmoja kaleta mmoja amefanikiwa kumnununulia uniform tu, kulipa chakula shule hawezi.

Mnakimbilia mjini watoto na wake mnatelekeza kwenu, ndio maana baba zenu wanatomba mno wake zenu.
3: Kilimanjaro ni majumba sio vijumba , Kilimanjaro hâta MTU awe ulaya lazma ajenge hekalu,majumba mengi tumeajiri mashamba boy watuangalizie yaani kama ulaya vile,hâta watumishi WA umma tunawapa majumba bure watuangalizie,sio kama mikoani kwenu unakuta mtumishi WA umma hâta nyumba ya kupanga hapati,unakuta vijumba Vya slope tup
Majumba yapo, lakini ni moja moja tu.

Nyingi ni nyumba za kawaida, nyumba za Tope na nyingi za mbao kulingana na uchumi wa mtu na kipato chake.

Mlichobakiza ni kunywa mikonyagi, Kitimoto na kutafuna mirungi huku mkisifia magari ya watu.
 
Kilimanjaro ni mkoa WA pili kwa maisha bora (watu wake kuwa na kipato kikubwa)Baada ya dar,pia ni mkoa WA 6 kuchangia GDP kubwa
Akili yako ni ndogo.

Average huchukuliea kwa kugawa pato la mkoa kwa idadi ya watu.

Sasa nyie watafuna mirungi, mmekimbia kwenu mmeenda kuongeza idadi mikoa ya watu.

Kilimanjaro Kuna masikini wa kutisha mnooo, maana:

  • Ufugaji mgumu ( hakuna malisho, lazima kukatia majani mifugo)
  • Kilimo hakuna mashamba.
  • Biashara kubwa ni pombe tu.

Kila mtu anauza pombe mpaka wengine wanauzia uvunguni.

Wachagga kwa kupenda magendo, Hiyo Rombo Ina mipaka miwili ya Holili na Tarakea, lakini IMECHOKAAAA hata Msata Kuna afadhali.

Stupid.
 
Sema Rombo ulevi umezidi aisee...ni Wilaya Fulani hiv isiyo na future yoyote
we huna data za rombo.
ingekuwa ni walevi mabasi toka dar pekee kwa siku kwenda rombo ni kama ifuatavyo-:
Tilisho 2
Easter 2
Dar expres 2
na wote ni wa rombo wanajaza.
je ni mabasi mangapi yanaenda wilayani kweni kwa siku?
kumbuka hayo ni mabasi yanayotoka dar pekee, bado dodoma,singida mwanza,arusha nk.
ni wilaya pekee yenye uchumi usioyumba.
kuhusu ulevi syo rombo pekee kwenye walevi ila imekua inashangaza kwa kuwa haikuwahi kutokea kuwa hivyo
kuhusu shule kukosa watoto kunatokana na sababu alizoeleza DED lakini kwa ukubwa wake warombo wengi wako nje ya wilaya yao wanatafuta maisha hasa Dsm,Arusha, moshi,nairobi, mwanza,dodoma na morogoro ambako wanasomesha watoto shule zilizoenda shule.
pia vita ya serikali dhidhi ya wachaga ilisababisha shule kuwa hazina mazingira rafiki kusomea ikiwamo walimu, miundombinu nk vitu vilivyopelekea kukosa wanafunzi
 
UKWELI ni kwamba Kilimanjaro hakuna FURSA na maisha ni MAGUMUUUUU.

Mkoa hakuna anayehamia, isipokuwa kila siku wenyeji WANAHAMA. Huku ukikuta mgeni labda mfanyakazi na yeue anatafuta kuhama kila siku.

Huku wachagga wanarudi sikukuu na mwisho wa mwaka.

Pia, shule ni nyingi kutokana na Kilimanjaro ni kimkoa kidogo mnoooo.

Mfano halisi wa hiyo tarafa ya Mashati, ukubwa wake sehemu nyingine ni Kama KIJIJI tu
Sasa Ina kata 6, na kila kata ina sekondari na shule za msingi wakati hakuna watu, wakusoma

Kilimanjaro wanaobaki ni wazee tu na vijana wasio na pa kwenda, ambao wengi ni bodaboda.

Rombo pia kuna tatizo zito la.ulevi ambalo huyo DED anakwepa kulisema ili asiwaudhi wachagga, anawasifia eti wamesoma ndio maana Wana watoto wachache jambo ambalo ni UWONGO kabisa.

Ni kwamba narudia, watu wa Kilimanjaro wengi wako mikoa mingine na wtoto wao wanasoma huko.
Maisha magumu ni Akili Yako tu
Kilimanjaro hakuna maisha magumu ndio maana ni mkoa WA tatu kwa watu wake kuwa na kipato kikubwa na ni mkoa WA 6 kuchangia GDP
Pia Kilimanjaro fursa nyingi zilishajaa kutokana n'a Ku develop mapema,Sasa utaenda Kilimanjaro kufungua fursa IPI ambayo haipo? Ni Sawa n'a wewe uende uingereza unaenda kutafuta fursa wakati kule Tangu Zaman fursa zishakabwa,ndio maana watu WA Kilimanjaro kutokana n'a Akili kubwa wakaenda mikoan kuongeza fursa,sio ajabu kukuta MTU WA Kilimanjaro ana vitega uchumi mikoa 5 tofauti tofauti HII ndio Tafsir ya kusoma na kuelimika,sio kama wale wenzetu wanaojifanya wamesoma wakati mkoa wao unaongoza kwa ufukara Licha ya kuwa na ardhi nzuri na maeneo kedekede,
Pia mkoa huo ni miongoni mwa mikoa yenye udumavu kwa watoto
Tafsiri ya kusoma means Uwe na maisha bora
 
Wahaya oneni shule za wachaga huko kwao ni vibanda vya nyanya,wamekomaa na ulevi watoto wanalimishwa tu shule awapelekwi.
we ni mpuuzi, watoto walimishwe hayo mashamba ya kulima yako wapi.
kama hukuwahi kufika rombo usitoe comment kwani hujui ukweli ulivyo.
mi nimefanya kazi huko tena idara ya afya nawajia vizuri sana.
hebu tafuta sensa ya watu na makazi utajua rombo ikoje
 
we huna data za rombo.
ingekuwa ni walevi mabasi toka dar pekee kwa siku kwenda rombo ni kama ifuatavyo-:
Tilisho 2
Easter 2
Dar expres 2
na wote ni wa rombo wanajaza.
je ni mabasi mangapi yanaenda wilayani kweni kwa siku?
kumbuka hayo ni mabasi yanayotoka dar pekee, bado dodoma,singida mwanza,arusha nk.
ni wilaya pekee yenye uchumi usioyumba.
kuhusu ulevi syo rombo pekee kwenye walevi ila imekua inashangaza kwa kuwa haikuwahi kutokea kuwa hivyo
kuhusu shule kukosa watoto kunatokana na sababu alizoeleza DED lakini kwa ukubwa wake warombo wengi wako nje ya wilaya yao wanatafuta maisha hasa Dsm,Arusha, moshi,nairobi, mwanza,dodoma na morogoro ambako wanasomesha watoto shule zilizoenda shule.
pia vita ya serikali dhidhi ya wachaga ilisababisha shule kuwa hazina mazingira rafiki kusomea ikiwamo walimu, miundombinu nk vitu vilivyopelekea kukosa wanafunzi
Sijui ni ushamba au Nini mkuu...Bado mna mentality ya kuwa nyinyi ni Bora 2024?
Tazama mabasi mangapi yanaenda karagwe kagera Kila siku kutoka Mwanza na Dar es Salaam

Mimi nilitembelea Rombo yaan kukutana na mwanaume kamili anayejielewa ni nadra sana...Kila mtu ananuka pombe na amechakaa...
Wanawake ndo wanapiga kazi wanaume ni wavivu sana
 
Back
Top Bottom