luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Heri kuamka n'a Hangover KULIKO kuamka ukiwa umechoka usiku kucha kupanda fisi[emoji1][emoji1]Umeamka na hangover
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri kuamka n'a Hangover KULIKO kuamka ukiwa umechoka usiku kucha kupanda fisi[emoji1][emoji1]Umeamka na hangover
🤣🤣hili jambo umelibeba mazimaKabisa huo ndio ukweli,dar miaka Hyo ya zamani Wachaga walinunua maeneo ya pembezoni Sasa HIVI ndio mji umehamia,walishapiga plan ya miaka 50 mbele
Sijakuelewa mkuu[emoji1787][emoji1787]hili jambo umelibeba mazima
Wewe elewa wanasoma shule ya private Kilimanjaro,si unajua Kilimanjaro mashule ya private Kila Mahali Hadi vijijin?Wanasoma shule gani?
Hakuna Shida yoyote madam Kijijin hapo hakuna watoto WA umri WA kuandkisha shule wanazururaOkay
Ila Nadhani content ya uzi ipo hapa pa kuandikisha watoto watatu tu Kwamba ni wachache sana unadhani shida itakua nini?? Huku wengine wakielezea sababu!
Mhaya hawezi kumfikia mchaga kwa elimu hiyo ni MojaWahaya wamesoma sana lakini wanakaa kwao, kwasababu kunakalika.
Kwenu HAMTAKI.
Mnarudi tarehe 23/12- tarehe 26 baada ya Krismas mnatimkaa mbio bila kuangalia nyuma.
Nyambafu
Rate ya kuzaliana Kilimanjaro haina tofauti kubwa na mikoa mingine. Ingawa huku wanawake wa kichagga hawawataki nyie walevi kwasababu mzigo wa kulea MMEWATELEKEZEA.
Juzi hapa nilikuwa ofisi ya Kijiji, msheku mmoja kaleta mmoja amefanikiwa kumnununulia uniform tu, kulipa chakula shule hawezi.
Mnakimbilia mjini watoto na wake mnatelekeza kwenu, ndio maana baba zenu wanatomba mno wake zenu.
Majumba yapo, lakini ni moja moja tu.
Nyingi ni nyumba za kawaida, nyumba za Tope na nyingi za mbao kulingana na uchumi wa mtu na kipato chake.
Mlichobakiza ni kunywa mikonyagi, Kitimoto na kutafuna mirungi huku mkisifia magari ya watu.
😂😂😂Heri kuamka n'a Hangover KULIKO kuamka ukiwa umechoka usiku kucha kupanda fisi[emoji1][emoji1]
Kagera ni miongoni mwa Mikoa 5 maskini zaidi Tanzania.Mhaya hawezi kumfikia mchaga kwa elimu hiyo ni Moja
Pili,Sisi tupo Nÿumbani na ugenini kotekote tumesoma na pia tunaongeza fursa maana haturiziki na kitu kimoja
Tatu,Hao wahaya unaowasema unajua kuwa mkoa wao ni WA kwanza kwa umaskini ?
Nne, Kilimanjaro 95% ni nyumba bora za kisasa 5% ndio Hizo ulizosema Hapo
Tano, Kilimanjaro ni mkoa WA Kwanza kwa makazi bora vijijin,na miundombinu toshelezi(umeme, maji,shule, hospital) kiwango chá umaskini Kilimanjaro ni 10% tu just imagine,ilhali kiwango chá umaskini kwenu geita ni 42%
Sasa si wachukue na mimba huko kenya? Au watoto wanalelewa na baba zaoWanawake wa Rombo walishawahi kulalamika wanalazimika kwenda kufata wanaume kenya baada ya vijana wa Rombo kuwa walevi kupindukia
EEKo sisi tunaozaliana hatujasoma?[emoji28][emoji28][emoji28]
Maneno mengi vitendo zero...Mhaya hawezi kumfikia mchaga kwa elimu hiyo ni Moja
Pili,Sisi tupo Nÿumbani na ugenini kotekote tumesoma na pia tunaongeza fursa maana haturiziki na kitu kimoja
Tatu,Hao wahaya unaowasema unajua kuwa mkoa wao ni WA kwanza kwa umaskini ?
Nne, Kilimanjaro 95% ni nyumba bora za kisasa 5% ndio Hizo ulizosema Hapo
Tano, Kilimanjaro ni mkoa WA Kwanza kwa makazi bora vijijin,na miundombinu toshelezi(umeme, maji,shule, hospital) kiwango chá umaskini Kilimanjaro ni 10% tu just imagine,ilhali kiwango chá umaskini kwenu geita ni 42%
Anasema alikuwa mtumishi Tena Afya, kilichomkimbiza ni nini pamoja na kupewa nyumba ya bure Kama kweli zipo alipewa huyo tuturu?Rombo ni kuzuri kwa watumishi,ukiwa mtumishi rombo ukienda Kijijin tu unapewa nyumba ya bure uitunze tu,nyumba ina Kila kitu je kwenu usukumani vipo ?
Hko kwenu mtumishi hâta nyumba ya kupanga ni mtihani kuipata,unaenda Kijijin unakuta vi slop Vya kisukuma tupu
Wanatoka wapi?Narudia,Karibu Kila Kijiji Kuna huduma ya private either shule or zahanati/hospital
Cheki msafara WA Wana Kilimanjaro View attachment 2869665
Kwa hiyo ile biashara yako magendo kutoka Kenya umeacha?Watoto Wangu wanasoma Kilimanjaro private,na mm ninafanya KAZI maeneo tofauti tofauti tz na nje ya tz
Mm nipo rombo tarakea hapa ni kweli school bus za kenya znakuja na kuwarudisha wanafunziSababu zipo kadhaa, baadhi ni Wazazi wengi kuwapeleka Watoto wao kwenye Shule za binafsi, pia maeneo ya mipakani kuna Wazazi wanapeleka Watoto wao kwenda kusoma Kenya.
===== Huu ni UWONGOOOO.
Private Kuna wanaopeleka lakini ,ni wachache mnooo, na haina impact kubwa.
=======
Kwa kuwa tuna ujirani mwema kuna magari yanayokuja kubeba Wanafunzi wanaenda huko kusoma kisha jioni wanawarudisha.
======
Huu ni UWONGOOOO, UWONGO kabisa asilimia 200.
======
Sababu nyingine ni kuwa ‘population’ sio kubwa sana hapa na Watu wengi wamesambaa na wanasambaa hivyo kusababisha baadhi kuwahamisha Watoto wao pia.
======
Huu ndio ukweli HALISI,.
=====
Kingine ni kuwa Kilimanjaro watu wamesoma sana na hivyo suala la kuzaa Watoto wengi sio jambo linalopendelewa sana kama ilivyo maeneo mengine, watu wengi wana Watoto chini ya watatu au wawili.
=======
Huu ni UWONGOOOO UWONGO kabisa asilimia 5000.
Amrushu walifunga eighties, Kirwa wanamalizia, nyingine Zina upungufu mkubwa WA wanafunzi , nyingine nyingi zinaweza kufungwa, mbunge aangalie nini tatizo!!?? Shughuli nyingi za kiuchumi zimezorota!! Mzee Mkenda mbunge upo!?Kirwa Amrushu, Kiungwe zina wanafunzi
Unaonekana una muda mrefu sana haupo RomboAmrushu walifunga eighties, Kirwa wanamalizia, nyingine Zina upungufu mkubwa WA wanafunzi , nyingine nyingi zinaweza kufungwa, mbunge aangalie nini tatizo!!?? Shughuli nyingi za kiuchumi zimezorota!! Mzee Mkenda mbunge upo!?