Mkurugenzi Rombo: Shule iliyoandikisha Wanafunzi Watatu hakuna imani za kishirikina ni maamuzi ya wazazi tu

Mkurugenzi Rombo: Shule iliyoandikisha Wanafunzi Watatu hakuna imani za kishirikina ni maamuzi ya wazazi tu

Wanasoma shule gani?
Wewe elewa wanasoma shule ya private Kilimanjaro,si unajua Kilimanjaro mashule ya private Kila Mahali Hadi vijijin?
Kilimanjaro ni mkoa unaoongoza kwa sekondar nyingi Tanzania
Moshi DC inaongoza kwa shule za msingi
 
Okay

Ila Nadhani content ya uzi ipo hapa pa kuandikisha watoto watatu tu Kwamba ni wachache sana unadhani shida itakua nini?? Huku wengine wakielezea sababu!
Hakuna Shida yoyote madam Kijijin hapo hakuna watoto WA umri WA kuandkisha shule wanazurura
Watoto wamepelekwa private schools,wengine wanasoma mikoani hiyo ndio sababu hakuna tatizo
Kubwa KULIKO ni Wachaga kuzaa kwa mpango average ya mchaga kuzaa ni watoto 3 wakizidi 4 hiyo ndio Raha ya kuelimika mapema,sio MTU unakuta Ana watoto 12 Huku hawezi kuwahudumia
 
Wahaya wamesoma sana lakini wanakaa kwao, kwasababu kunakalika.

Kwenu HAMTAKI.

Mnarudi tarehe 23/12- tarehe 26 baada ya Krismas mnatimkaa mbio bila kuangalia nyuma.

Nyambafu

Rate ya kuzaliana Kilimanjaro haina tofauti kubwa na mikoa mingine. Ingawa huku wanawake wa kichagga hawawataki nyie walevi kwasababu mzigo wa kulea MMEWATELEKEZEA.

Juzi hapa nilikuwa ofisi ya Kijiji, msheku mmoja kaleta mmoja amefanikiwa kumnununulia uniform tu, kulipa chakula shule hawezi.

Mnakimbilia mjini watoto na wake mnatelekeza kwenu, ndio maana baba zenu wanatomba mno wake zenu.

Majumba yapo, lakini ni moja moja tu.

Nyingi ni nyumba za kawaida, nyumba za Tope na nyingi za mbao kulingana na uchumi wa mtu na kipato chake.

Mlichobakiza ni kunywa mikonyagi, Kitimoto na kutafuna mirungi huku mkisifia magari ya watu.
Mhaya hawezi kumfikia mchaga kwa elimu hiyo ni Moja
Pili,Sisi tupo Nÿumbani na ugenini kotekote tumesoma na pia tunaongeza fursa maana haturiziki na kitu kimoja
Tatu,Hao wahaya unaowasema unajua kuwa mkoa wao ni WA kwanza kwa umaskini ?
Nne, Kilimanjaro 95% ni nyumba bora za kisasa 5% ndio Hizo ulizosema Hapo
Tano, Kilimanjaro ni mkoa WA Kwanza kwa makazi bora vijijin,na miundombinu toshelezi(umeme, maji,shule, hospital) kiwango chá umaskini Kilimanjaro ni 10% tu just imagine,ilhali kiwango chá umaskini kwenu geita ni 42%
 
Kagera ni miongoni mwa Mikoa 5 maskini zaidi Tanzania.
 
Mhaya hawezi kumfikia mchaga kwa elimu hiyo ni Moja
Pili,Sisi tupo Nÿumbani na ugenini kotekote tumesoma na pia tunaongeza fursa maana haturiziki na kitu kimoja
Tatu,Hao wahaya unaowasema unajua kuwa mkoa wao ni WA kwanza kwa umaskini ?
Nne, Kilimanjaro 95% ni nyumba bora za kisasa 5% ndio Hizo ulizosema Hapo
Tano, Kilimanjaro ni mkoa WA Kwanza kwa makazi bora vijijin,na miundombinu toshelezi(umeme, maji,shule, hospital) kiwango chá umaskini Kilimanjaro ni 10% tu just imagine,ilhali kiwango chá umaskini kwenu geita ni 42%
Maneno mengi vitendo zero...

Hii ndo Bukoba..haya linganisha na mji wenu chakavu Moshi

View: https://youtu.be/rBYKFm9U19w?si=CtV97k4jHwEYZxHs
 
Rombo ni kuzuri kwa watumishi,ukiwa mtumishi rombo ukienda Kijijin tu unapewa nyumba ya bure uitunze tu,nyumba ina Kila kitu je kwenu usukumani vipo ?
Hko kwenu mtumishi hâta nyumba ya kupanga ni mtihani kuipata,unaenda Kijijin unakuta vi slop Vya kisukuma tupu
Anasema alikuwa mtumishi Tena Afya, kilichomkimbiza ni nini pamoja na kupewa nyumba ya bure Kama kweli zipo alipewa huyo tuturu?

Hizi stori za jaba au unaongelea bar??
 
walombo muache kujichetua utashi, kwa waliofanikiwa kufika maeneo haya ya rombo inasemekana vijana kwa wazee wanapiga sana pombe za kienyeji
 
Sababu zipo kadhaa, baadhi ni Wazazi wengi kuwapeleka Watoto wao kwenye Shule za binafsi, pia maeneo ya mipakani kuna Wazazi wanapeleka Watoto wao kwenda kusoma Kenya.

===== Huu ni UWONGOOOO.

Private Kuna wanaopeleka lakini ,ni wachache mnooo, na haina impact kubwa.

=======

Kwa kuwa tuna ujirani mwema kuna magari yanayokuja kubeba Wanafunzi wanaenda huko kusoma kisha jioni wanawarudisha.
======
Huu ni UWONGOOOO, UWONGO kabisa asilimia 200.

======

Sababu nyingine ni kuwa ‘population’ sio kubwa sana hapa na Watu wengi wamesambaa na wanasambaa hivyo kusababisha baadhi kuwahamisha Watoto wao pia.
======

Huu ndio ukweli HALISI,.

=====

Kingine ni kuwa Kilimanjaro watu wamesoma sana na hivyo suala la kuzaa Watoto wengi sio jambo linalopendelewa sana kama ilivyo maeneo mengine, watu wengi wana Watoto chini ya watatu au wawili.

=======

Huu ni UWONGOOOO UWONGO kabisa asilimia 5000.
Mm nipo rombo tarakea hapa ni kweli school bus za kenya znakuja na kuwarudisha wanafunzi

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Kirwa Amrushu, Kiungwe zina wanafunzi
Amrushu walifunga eighties, Kirwa wanamalizia, nyingine Zina upungufu mkubwa WA wanafunzi , nyingine nyingi zinaweza kufungwa, mbunge aangalie nini tatizo!!?? Shughuli nyingi za kiuchumi zimezorota!! Mzee Mkenda mbunge upo!?
 
Unaonekana una muda mrefu sana haupo Rombo
 
Back
Top Bottom