MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Tilisho ndio anajaza na sababu kubwa ni:we huna data za rombo.
ingekuwa ni walevi mabasi toka dar pekee kwa siku kwenda rombo ni kama ifuatavyo-:
Tilisho 2
Easter 2
Dar expres 2
- Rombo hakukaliki kila mchagga anakimbilia Dar kuchoma Kitimoto, kuuza bar, grocery etc na shughuli nyingine.
Na kwasababu Dar -Rombo nauki, Tsh 32,000 wanarudi mara.
Hiyo Dar express nimepanda sana mara nyingi unakuta hata abiria hamfiki 20 gari zima.
Hayo mabus yanajaa sana Desemba.
Tena wanaorudi Kilimanjaro ni wale walioko Dar, Arusha, Manyara na maeneo ya karibu.
Unataka mabus yajae kwenda kwetu kwanini ni Nani alikwambia kwetu maaisha magumu mpaka nishi dwr kukaa kwetu.na wote ni wa rombo wanajaza.
je ni mabasi mangapi yanaenda wilayani kweni kwa siku?
Yaani mtu akimbie Mwanza ili mwisho wa mwaka apande gari kurudi???
KILIMANJARO mnakimbilia mjini kwasababu Hali ngumu sana na teteee
Rombo Kuna mabasi ya Dar na Dodoma (Shabiby) peke yake.kumbuka hayo ni mabasi yanayotoka dar pekee, bado dodoma,singida mwanza,arusha nk.
ni wilaya pekee yenye uchumi usioyumba.
Na Dar ni kampuni tatu, Esther, Tilisho, na Dar express.
Ulevi rombo ni next level🙉🙉kuhusu ulevi syo rombo pekee kwenye walevi ila imekua inashangaza kwa kuwa haikuwahi kutokea kuwa hivyo
Rombo Kuna pombe ambazo hajawahi kuziona Wala hutaziona sehemu nyingine.
Biashara kubwa ni pombe na kila mtu anauza pombe mpaka wengine chini ya uvungu wa kitanda.
Hizi ni stori za JABAkuhusu shule kukosa watoto kunatokana na sababu alizoeleza DED lakini kwa ukubwa wake warombo wengi wako nje ya wilaya yao wanatafuta maisha hasa Dsm,Arusha, moshi,nairobi, mwanza,dodoma na morogoro ambako wanasomesha watoto shule zilizoenda shule.
pia vita ya serikali dhidhi ya wachaga ilisababisha shule kuwa hazina mazingira rafiki kusomea ikiwamo walimu, miundombinu nk vitu vilivyopelekea kukosa wanafunzi