Mkurugenzi Rombo: Shule iliyoandikisha Wanafunzi Watatu hakuna imani za kishirikina ni maamuzi ya wazazi tu

Mkurugenzi Rombo: Shule iliyoandikisha Wanafunzi Watatu hakuna imani za kishirikina ni maamuzi ya wazazi tu

UKWELI ni kwamba Kilimanjaro hakuna FURSA na maisha ni MAGUMUUUUU.

Mkoa hakuna anayehamia, isipokuwa kila siku wenyeji WANAHAMA. Huku ukikuta mgeni labda mfanyakazi na yeue anatafuta kuhama kila siku.

Huku wachagga wanarudi sikukuu na mwisho wa mwaka.

Pia, shule ni nyingi kutokana na Kilimanjaro ni kimkoa kidogo mnoooo.

Mfano halisi wa hiyo tarafa ya Mashati, ukubwa wake sehemu nyingine ni Kama KIJIJI tu
Sasa Ina kata 6, na kila kata ina sekondari na shule za msingi wakati hakuna watu, wakusoma

Kilimanjaro wanaobaki ni wazee tu na vijana wasio na pa kwenda, ambao wengi ni bodaboda.

Rombo pia kuna tatizo zito la.ulevi ambalo huyo DED anakwepa kulisema ili asiwaudhi wachagga, anawasifia eti wamesoma ndio maana Wana watoto wachache jambo ambalo ni UWONGO kabisa.

Ni kwamba narudia, watu wa Kilimanjaro wengi wako mikoa mingine na wtoto wao wanasoma huko.
Kilimanjaro 95% ya Kaya zote Zina maji na umeme
90% ya makazi yake ni ya kisasa
Kule watumishi WA umma anapewa nyumba bure awe anaiamgalia tu n'a kuifanyia usafi
Kilimanjaro wasomi na wafanyabiashra ni wengi hivyo kuchochea mtawanyiko
 
Kilimanjaro watu wengi wamesoma hivyo wanafanya kazi nje ya huko
Pia ni wafanya biashara hivyo ndiyo factor kuu inayochochea mtawanyiko
Hakuna sehemu yoyote tz utamkosa MTU WA Kilimanjaro
Kikwete aliwahi kukaririwa akisema ukienda Mahali ndani ya Tanzania ukamkosa Mchagga, hiyo sehemu sio Valid kuishi.
 
Kilimanjaro 95% ya Kaya zote Zina maji na umeme
90% ya makazi yake ni ya kisasa
Kule watumishi WA umma anapewa nyumba bure awe anaiamgalia tu n'a kuifanyia usafi
Kilimanjaro wasomi na wafanyabiashra ni wengi hivyo kuchochea mtawanyiko
Stori za JABA, RAHA POA na MKOKAA.
 
Kama hujafika kule utaamini stori za kuhadisiwa Ila wazawa tunajua tangu miaka ya 90 hata huo

Tangu miaka ya 90 hata hayo Mambo ya ulevi hayajachanganya na bado shule zilikuwa na wanafunzi wachache.
Naam Kilimanjaro standard ya élimu ni nzuri,mm enzi nasoma darasa la saba tulimaliza 45 tu
 
Unaishi wapi Sasa hivi?

Maana Mimi Niko hapa wanapopasema.
Tangu enzi n'a enzi Kilimanjaro shule hazijaagi kama huko mikoani kwenu,mm nimemaliza shule tukiwa 45 tu
Alafu pia shule kule ni nyingi mno, Kilimanjaro ni mkoa WA kwanza kwa sekondar nyingi,Huku Moshi DC ni halmashauri inayoongoza kwa shule za msingi Tanzania
Pia Kilimanjaro Karibu Kila Kijiji Kuna shule na zahanati ya private
 
Wanawake wa Rombo walishawahi kulalamika wanalazimika kwenda kufata wanaume kenya baada ya vijana wa Rombo kuwa walevi kupindukia
Kumbe ndo maana wameandika wengine wanaenda kusoma Kenya
 
Tangu enzi n'a enzi Kilimanjaro shule hazijaagi kama huko mikoani kwenu,mm nimemaliza shule tukiwa 45 tu
Alafu pia shule kule ni nyingi mno, Kilimanjaro ni mkoa WA kwanza kwa sekondar nyingi,Huku Moshi DC ni halmashauri inayoongoza kwa shule za msingi Tanzania
Pia Kilimanjaro Karibu Kila Kijiji Kuna shule na zahanati ya private
Sasa hivi unaishi wapi na watoto wako wanasoma wapi?
 
Sawa mkuu, ila karibia 90% ya alichosema DED ndicho unachosema wewe.
Naam hoja za ded zipo sahihi
1: Kilimanjaro watu wamesoma hivyo wanafanya kazi nje ya mkoa
2: Kuna shule nyingi za private(Karibu Kila Kijiji Kuna shule ya private)
3:Uzazi WA mpango, Kilimanjaro watu hawazai vitóto vingi kama panya
Nb
Elimu bora sio darasa kuwa na watoto 300
 
Danganya nyumbu.
Nyumbu ni wale mnaozaliana kama panya Hadi darasa linakuta Lina kaa watoto 300 hasa kwenu usukumani
Na ndio inasababisha mikoa yenu kuwa maskini
Standard ya kuzaa ni watoto 3 Sawa Ngosha?
Kilimanjaro majumba mengi tumeajiri mashamba boy kutuangalizia maana wengi wamesoma na wanafanya kazi maeneo tofauti
Pia biashara Kilimanjaro ina wafanyabiashra Kila pembe ya nchi,hakuna popote tz utamkosa mwana Kilimanjaro
 
Yaani anajisifia kabisa kuwa watu wanapeleka watoto kusoma kenya.

Kwanini wasiboreshe elimu na kulishinda soko la kenya??

Hapo ndio utaona kama elimu bure ndio elimu bora.
 
Yaani anajisifia kabisa kuwa watu wanapeleka watoto kusoma kenya.

Kwanini wasiboreshe elimu na kulishinda soko la kenya??

Hapo ndio utaona kama elimu bure ndio elimu bora.
Kilimanjaro pesa IPO tunasomesha Hadi ulaya,unatupangia?
 
Back
Top Bottom