TANZIA Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu ya Zanzibar, Charles Hillary afariki dunia

Pia awasalimie Karem Besta,Eda Sanga,Uncle J Nyaisanga,Rehema Mwakangale,Zuberi Msabaha,Deo Kiduduye,Freddy Felix au Fredwa,Job aiza Kamwamto wa Kenya,Leondard Mambo Mbotela wa Kenya na na wengine
Ongezea Isaac Muyenjwa Gamba "Nyagabona"
 
"Charles akamfundisha Halima Mchuka "
Mkuu kumbuka vzr hapa.
 

Acha chuki, husda na ubaguzi (dhidi ya Waislam ambazo umezificha nyuma ya pazia la uzanzibari/wazanzibari). Charles Hilary alikuwa ni Mzanzibari, najua jina limekuchanganya ndio maana unaropoka. Na ndio maana nasema acha Islamophobia uliyoificha nyuma ya utanganyika na uzanzibari.
 
Rest in paradise.

The guy was very humble and smart.

For those who wants to learn from him can go and watch his interview with Salama Jabir.
 
Mods please change the title

Tunaweza kuwa na grievance zetu lakini Tuache kuruhusu watu wanaonormalize vitu vya hivyo kama huyu mleta mada
No any grievance mkuu kma nimekosea namna ya uwasilishaji ni sawa lkn sina ugomvi na mtu mimi

I am humble to any one
 
WAsifu haujakamilika, hasa kwenye Elimu na aliowaacha.

Huyu ni mtu mkubwa kwenye Tasnia ya habari Tanzania na Nchi zinazosikiliza kiswahili.
 
Nicknames nyingi za wapiga ndaruga wa kipindi mechi unasikiliza (sio kuangalia) TBC nadhani aliwapa yeye...
 
Nilichojifunza na Wanangu Ntawafundisha na hata sasa mimi Binafsi mtaani naishi hivyo;

Kuna jamii ukiwa juu yao kwa Cheo au fursa au kipato akijua ukitoka wewe atapata yeye ni sheedar muda wowote unaenda kwa Sanda.
Miaka 66 mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…