TANZIA Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu ya Zanzibar, Charles Hillary afariki dunia

Huyu alikuwa sio mwenzetu!

Marehemu Charles Hilary alizaliwa Zanzibar miaka 66 iliyopita eneo la Jang’ombe. Mwaka 1968 alihamia jijini Dar es Salaam na kujiunga na Shule ya Msingi ya Ilala Mchikichini
Na Watanganyika tukakaa kimya. Uliona wapi nchi ndani ya nchi? Achilia mbali mambo ya Vatican, San Marino. Nadhani wewe unazungumzia umiliki wa ardhi kupitia embassy na huwa ni plots siyo farms.
 
R.I.P Charles Hillary,hakika tutakukumbuka daima kwa kazi nzuri,poleni wanahabari wote duniani🙏🙏🙏
 
Hivi Zuhura Yunusi yuko wapi?

Mpuuuzi kweli yule, yani kaacha BBC kaja kutumia na chura kiziwi, ona sasa hata kusikaka hamna na bado kijana tu
 
Amina
 
Hivi Zuhura Yunusi yuko wapi?

Mpuuuzi kweli yule, yani kaacha BBC kaja kutumia na chura kiziwi, ona sasa hata kusikaka hamna na bado kijana tu
Crimea acha zako mama tupo naye mpaka baadaye sana.
 
Apumzike mahali anapostahili!
Charles Hillary umetumika 44 si haba
 
Taarifa ya Habari AZAM TV ikisomwa na Charles Hilary na Ivon Kamuntu nilikuwa sibanduki kwenye TV. Mwenyezi Mungu amrehemu. Kwakweli tasnia ya Habari aliitendea haki.
 
Ni wale wale Ile issue ya Zanzibar kumiliki eneo upande wa bagamoyo aliishupalia Sana kuandika matangazo na kuyapost na kwenda kwenye media ngoja af

Hana shukrani. Elimu, kuanzia primary, kazi, jina na maisha kayapatia Tanganyika. Halafu uzeeni anainyea Tanganyika.

Bila RTD angepata kazi DW na BBC ?
 
Na Watanganyika tukakaa kimya. Uliona wapi nchi ndani ya nchi? Achilia mbali mambo ya Vatican, San Marino.
Nadhani wewe unazungumzia umiliki wa ardhi kupitia embassy na huwa ni plots siyo farms.
Bado ni mali waliyopata kihalali
 
Alikuwa akipelekwa Muhimbili ,ina maana huko zanzibar hakuna hosp kubwa?
 

Sahihi kabisa
 
Kwahy jamaa bado n mkurugenzi huku akiwa mfu? 😂
Ww ndo ujue kuandika Kiswahili vyema.
Nadhani yuko sahihi. Mfano Rais au Mkuu wa majeshi ambaye bado anahudumu (Sitting) tunasema, Mkuu wa Majeshi....... Amefariki dunia au Rais wa Tanzania na Amir jeshi mkuu........ Amefariki dunia kwa ajali ya ndege. Sijui nime eleweka? Kuto kubali ana ni haki ya kila mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…