Tetesi: Mkutano Mkuu wasogezwa ni tarehe 16/08/2025, something big with part chaja

Wajumbe tutakufa kwa presha tuna maden jmn na tulahaid kulipa baada ya mkutano 😌😌
 
Unaneni tu
 
Kife tu hiki chama, kife
 
Hangaika kwanza kumuomba amalize ulofa ulionao kwanza

Sala ya baba yetu uliye Mbinguni inakutaka uombe akupe riziki yako kwanza

Wewe unakesha kuhangaika na maombi ya taifa yako binafsi yamekushinda farisayo wewe

Umaskini utakuua shauri yako
Aaah miye silambi viatu wewe km wewe kufa na usionekane tena
 
Unawajua lakini wale wakishaonja madaraka? Utaomba serikali ya kiraia irudi.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒAcha tu Bora tupate kidogo experience ya kusimulia...watupe hekahekaπŸ˜‚
 
Reactions: Tsh
πŸ˜ƒπŸ˜ƒAcha tu Bora tupate kidogo experience ya kusimulia...watupe hekahekaπŸ˜‚
Hahaha, Hapana mkuu. Halafu shida ya madaraka ukishayaonja yana tabia ya kuganda akilini.
 
Yetu macho, watajijua
 
Bibi Kizimkazi kawekwa mtu kati.
Mkuu vipi zile tetesi kuwa Bi.Mkubwa kawekwa kizuizini,ni za kweli?
Watu kwa uzushi!! Hamchoki tu. Wengine wanasema amekufa, wewe unasema yuko kizuizini ili tu mfurahishe akili zenu mbovu
 
Britanicca kachemsha safari hii kama habari zile za mtoto Pendwa.
 
Mayday any ships around Lumumba hear me? This is MV CCM – two holds blazing furiously – no chance to put the fire out – plates buckling – got into trouble with the machinery, too – total blackout – please come at once – the situation on the brink – she may go down any minute – we can’t last much longer – over.
 
Mzee Mangula na Mzee kinana hawakupasa kujiudhuru kabla ya Oct 2025.Angalia sasa bus limekosa breki kwenye mteremko baadhi ya abiria wameanza kujirusha nje
Weye wadhani walijiuzulu kwa hiari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…