mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
Hawana akili, juzi Shaka anaropoka eti mamlaka ya hifadhi za misitu ziruhusu watu waharibu misitu, wanaongea mambo ya ajabu, JPM alikuwa strict na mkali wa ujinga kama huu.Wafugaji wamejaa maporini wanafyeka misitu/mapori eti wanyama wao wasipotee, hakuna anaejali! Wenye mamlaka wako bize na machinga! Bado mapori ya akiba/tengefu kwa ajili ya kuhifadhi mazingira mnawagawia wananchi wafyeke waishi! Ina maana Mwalimu alikuwa mjinga kuyatenga? Aisee yaani afrika haina viongozi ndiyo maana tramp alikuwa anawadharau sana! Yaani ni mizigo! Ndiyo haibebeki! Mapori yanateketea halafu wanaenda ulaya sijui kusema nini! Sisi wakulima tunasikitika sana!
Afrika hakuna viongozi mkuu kuna watawala angalia huyu tuliye nae huu ni mwaka 2021 yeye akili na mawazo yake yanawaza uchaguzi wa 2025 Sasa huyu ni kiongozi [emoji23]Wafugaji wamejaa maporini wanafyeka misitu/mapori eti wanyama wao wasipotee, hakuna anaejali! Wenye mamlaka wako bize na machinga! Bado mapori ya akiba/tengefu kwa ajili ya kuhifadhi mazingira mnawagawia wananchi wafyeke waishi! Ina maana Mwalimu alikuwa mjinga kuyatenga? Aisee yaani afrika haina viongozi ndiyo maana tramp alikuwa anawadharau sana! Yaani ni mizigo! Ndiyo haibebeki! Mapori yanateketea halafu wanaenda ulaya sijui kusema nini! Sisi wakulima tunasikitika sana!
Hatutaki Rais asiyekuwa na exposure, na muelewe wazi nchi hii haitatawaliwa tena na washamba.SSH anahangaika na mkutano wa kuhusu Climate changes” hivi ili ni tatizo kubwa la watz, Carbon emission Tz ni ndogo sana kwa nini anaenda kuhangaika na inshu zisizo na faida au athari kubwa kwetu? Au ili mradi tu amezurula, tungewakilishwa na Mawaziri na mabalozi tungepoteza nini ?
Ni nani aliikabidhi nchi kwa washamba?Hatutaki Rais asiyekuwa na exposure, na muelewe wazi nchi hii haitatawaliwa tena na washamba.
Dosari za mama tunazijuwa tutadeal naye accordingly, lakini never again kukabidhi nchi kwa washamba.
JPM is dead Man, naona yatima mnashindwa kuukubali ukweli, is no more, tupo awamu ya Sita wewe bado unaota awamu ya kishetani?Hawana akili, juzi Shaka anaropoka eti mamlaka ya hifadhi za misitu ziruhusu watu waharibu misitu, wanaongea mambo ya ajabu, JPM alikuwa strict na mkali wa ujinga kama huu.
JPM is dead Man, naona yatima mnashindwa kuukubali ukweli, is no more, tupo awamu ya Sita wewe bado unaota awamu ya kishetani?
Nakumbuka akiwa arusha alisema hata hela za kujenga stendi ataomba mahala.Ni hasara sana kuongozwa na kiongozi anayewaza kuombaomba pasi na kutafuta Suluhu.
Mafanikio na maendelea ni kazi na akili kama kiongozi asilimia 80% ya mawazo yake ni kuombaomba hata ashuke malaika Gabriel hatutoboi.
Wewe akili huna, Kwamba mtu akifa hatakiwi kuongelewa? Nyerere kila siku anaongelew ahumu kwani yuko hai?JPM is dead Man, naona yatima mnashindwa kuukubali ukweli, is no more, tupo awamu ya Sita wewe bado unaota awamu ya kishetani?
🤣👍Umeelezea vizuri sana.Nafikiri itakuwa wamekuelewa,japo watajifanya hawajakuelewa.
Hivi toka tuanze kupewa misaada enzi za Hayati baba wa taifa ndani ya familia yenu wamepatikana mashoga wangapi ?!!! Wanazidi 5?!!We lofa kweli,KWA hyo wakupe KWA mkono huu afu wakupe masharti ya kuingiza sheria zao za kishenzi kama ushoga!
Mnateteaga upumbavu sana
Kuandika tu kiswahili fasaha hujui....utaweza kuwa na Weledi wa kumshauri kiongozi wa nchi ?!!! Khaaa 😲😲🤣Kwanza sio kila mikutano lazima aende kuhudhulia. Mikutano mingine unaangalia Ina tija gani kwa Taifa letu. Kwenda ktk mikutano kama huo ni matumizi mabaya ya pesa Yetu ya tozo. Angemtuma balozi wetu wa huko au aliye kalibu na hapo Kwenda kumuwakilisha
Kwa hiyo watu milioni moja tanzania waliochanjwa ndo walikua na covid hawa milioni 60 waliobaki hawakua na covid sio?Mnaona aibu kuomba omba? Mnamuonea aibu nani asiyejua nchi hii ni masikini wa kutupwa na inategemea misaada kuendeshwa? Ndiyo hali halisi nchi masikini kama hii haiwezi kumudu mfano tozo ya kupunguza carbon (carbon tax).
Lazima tusaidiwe au mnataka Watanzania wafe na tai shingoni kwa kuona aibu kutembeza bakuli? Ndiyo maana yule aliyepita aliona aibu za kuomba msaada wa kupambana na Covid-19, wengi wakafa kwa ajili hiyo. Tukubali nafasi yetu hapa duniani kama nchi masikini, tunaotegemea misaada miaka 60 tangu tupate uhuru.
Masalia ya utumwa akili utumwa ndio urithi ulio tamalaki. Elimu mazingira tena elimu shirikishi bottom-up, ushiriki wa viongozi tena kuwa mfano, usimamizi, sera thabiti, citing sustainable development goals hasa vipengele vya mazingira, kuhimitiza utekelezaji wa maazimio mbalimbali ya nyakati zilizopita, na kuainisha mafanikio ya tanzania katika utekelezaji wa maazimio hayo na mipango thabiti iliopo kwa sasa na baadae, kuweka mfano bayana wa tunachofanya tanzania kwa muktadha wa maudhui at hand.Wanabodi,
Kama mtanzania, inawezekana umepata nafasi kufuatilia yanayojiri nchini Scotland kwenye mkutano unaohusu mabadiliko ya tabia nchi. Mkutano huu umehudhuriwa na viongozi wengi akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alihutubia mkusanyiko huo.
Tofauti na nchi kama China, Marekani na India, Tanzania haihusishwi sana kwa kuwa chanzo cha mabadiliko ya tabia nchi. Umuhimu wa kuhudhuria mkutano huo ni kujumuika na viongozi wengine katika kujadili suala hili na kuwa na mchango unaoweza kuleta manufaa chanya kwa miaka mingi ya baadaye.
Nimebahatika kuanglia hotuba zote za Rais Samia na kwa bahati mbaya au nzuri, aligusia zaidi kwenye umuhimu wa nchi zilizoendelea kuzisaidia nchi ambazo hazijaendelea kifedha ili kuweza kukabiliana na tatizo hili la mabadiliko ya tabia nchi.
Labda inawezekana kwamba ni kweli Tanzania inahitaji misaada hiyo lakini kwa upande wa pili haipendezi kuona kwamba mawazo haya ya kuendelea kupata misaada imetawala katika vichwa vya viongozi wetu. Kauli kama hizo zinaweza zisizae matunda.
Ingependeza sana kama Rais Samia angejizatiti zaidi katika kuongelea umuhimu wa kuwa na "balance" katika shughuli za maendeleo, maslahi ya binadamu na mikakati ya kulinda mazingira. Kama Tanzania, angezungumzia changamoto zinazo sababishwa na mabadiliko ya tabia nchi na mipango yetu haswa katika kipindi ambacho tunatamani uchumi wa viwanda.
Kwa nchi zilizoendelea, umuhimu wa sayansi katika kuvumbua njia mpya zisizo chochea uharibifu wa mazingira zinazoweza kutumika kwenye sekta mbali mbali
Mungu ni mwema, wakati wote
Toa uboya wengi wamekufa wangapi? Wewe kwenu mmekufa wangapi kwa corona wewe mbona hujafa kwa corona!!???,mwendazake alisistiza sana watanzania tufanye kazi kwa bidii tujitume na tuache uvivu na hiyo ndo siraha kubwa kwa mafanikio ya kuepukana na umasikini kuomna omba kunalemaza na kunaleta umasikini fullstop.Mnaona aibu kuomba omba? Mnamuonea aibu nani asiyejua nchi hii ni masikini wa kutupwa na inategemea misaada kuendeshwa? Ndiyo hali halisi nchi masikini kama hii haiwezi kumudu mfano tozo ya kupunguza carbon (carbon tax).
Lazima tusaidiwe au mnataka Watanzania wafe na tai shingoni kwa kuona aibu kutembeza bakuli? Ndiyo maana yule aliyepita aliona aibu za kuomba msaada wa kupambana na Covid-19, wengi wakafa kwa ajili hiyo. Tukubali nafasi yetu hapa duniani kama nchi masikini, tunaotegemea misaada miaka 60 tangu tupate uhuru.
Aliegoma kutembeza bakuli katumia trilioni 4+ za wazazi wetu wastaafu. Dhambi iliyojeHata mimi nilitegemea hivyo kwamba kwa kuwa mabadiliko ya tabia nchi ni agenda ambayo imeonekana kuwa changamoto, je sisi japo ni nchi changa kiuchumi tuna idea gani tofauti na maalum ambayo mataifa tajiri yangeweza kuipokea au kuichota na kuitumia kupunguza au kutatua changamoto hiyo?
Kelele nyingi humpoteza mbwa....Masalia ya utumwa akili utumwa ndio urithi ulio tamalaki. Elimu mazingira tena elimu shirikishi bottom-up, ushiriki wa viongozi tena kuwa mfano, usimamizi, sera thabiti, citing sustainable development goals hasa vipengele vya mazingira, kuhimitiza utekelezaji wa maazimio mbalimbali ya nyakati zilizopita, na kuainisha mafanikio ya tanzania katika utekelezaji wa maazimio hayo na mipango thabiti iliopo kwa sasa na baadae, kuweka mfano bayana wa tunachofanya tanzania kwa muktadha wa maudhui at hand.
Wenye akili wapo lakini je wanaheshimika, kujumuishwa, kuaminiwa, kushirikishwa na kupewa nafasi za kuwasaidia viongozi.
Unapewa pesa baada kuonesha na kuainisha relevant proposals au projects zinazovutia watoa pesa.