Mlimani City walikuwa wanajiamini na nini hadi kumgomea Magufuli hivi? Inamilikiwa na nani?


Sawa
 


Andaaa makalio vizuri…Kichapo kipo palepale kitaendelea kuanzia 2025…lazma bakora zitembee mpaka akili ziamke…JPM aliachia bado mapema sana….akili hazikunolewa vyakutosha…
 
Andaaa makalio vizuri…Kichapo kipo palepale kitaendelea kuanzia 2025…lazma bakora zitembee mpaka akili ziamke…JPM aliachia bado mapema sana….akili hazikunolewa vyakutosha…
Alikua mjinga mwandamizi,alifikiri thamani ya kufuta demokrasia ni mchezo??size huko,mfyuu
 
Kwa muujibu wa taarifa ya polis Mangula alikoswa koswa na sumu jiwe alikua jiwe kweli
 
Hili nalo neno mujarab !!
 
Mimi sizungumzii ushamba wake wala maziko yake, nachosema ni kwamba makosa yote yaliyofanyika awamu ya tano alihusishwa nayo Jiwe moja kwa moja ila awamu hii makosa yanayofanyika hahusishwi Samia japokuwa yeye ndio rais kama alivyokuwa Jiwe.
Samia anakosa gani Hadi Sasa ....? Kwani Kuna maiti zimeokotwa kwenye viroba kokobichi .....?
 
Ni sawaa magu alikuwa chiz ila Ni rais mzuri Sana linapokuja swala la maslai ya taifa na raia wake

Ameshasema kuwa inawezekana kuwa yey siyo mwnasias mzuri na ipo siku atakuja mwnasiasa mzuri atawabembeleza nimemuelewa San jpm polea pote
Tatizo hayo yote alikua anayaongea tu na sio kuyatenda. Angeyatenda wala watu wasinge furahi kifo chake
 
NOVEMBER 2015-MARCH 2021,
USHETANI ULIKUWA MWINGI SANA.
 
Samia anakosa gani Hadi Sasa ....? Kwani Kuna maiti zimeokotwa kwenye viroba kokobichi .....?
Kwani maiti za kwenye viroba huko koko beach huwa zinahusika moja kwa moja na taasisi ya rais?

Umeuliza kosa la Samia, kosa moja ni upendeleo wa kuachia hali yenye kufanya chama chake ccm kufanya mikutano ila vyama vya upinzani kuzuiliwa na yeye kukaa kimya kwa maana ameridhia jambo hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…