Mlimani City walikuwa wanajiamini na nini hadi kumgomea Magufuli hivi? Inamilikiwa na nani?

Mlimani City walikuwa wanajiamini na nini hadi kumgomea Magufuli hivi? Inamilikiwa na nani?

..Jiwe alikuwa na sifa ya ufuatiliaji na kuchukua maamuzi ya haraka.

..Wazungu wanaita watu wenye tabia za uongozi kama za Jiwe kuwa ni "micro manager."

..Jiwe alikuwa anadhibiti kila mtu aliye chini yake, na alidhibiti kila kitu.

..Katika mazingira hayo kulipotokea jambo baya, halafu hatua hazikuchukuliwa, au zikachelewa, basi watu waliamini Jiwe ameidhinisha.

..Kwa mfano, chukulia usumbufu waliokuwa wakiupata viongozi wa vyama vya upinzani. Mambo hayo yaliendelea kwa muda mrefu bila wahusika kuchukuliwa hatua.

..Kwasababu Jiwe alikuwa ni kiongozi anayechukua hatua za haraka kukomesha mambo asiyoyapenda, na kwasababu usumbufu kwa vyama vya upinzani uliendelea kwa muda mrefu, basi watu wakaamini kwamba Jiwe alikuwa amebariki uovu huo.

Sawa
 
Issue sio yule magufuli..issue ni ujinga wa watanzania.khali ilivyokuwa kipindi cha yule muuaji inawwza ikajirudia tena anytime soon..kwa sababu factors zilizochangia muuaji yule kufanya alivyofanya bado zipo hazijabadilika ambazo ni katiba ya kipumbavu na watanzania wwnye akili za mbuni..MUNGU alituepushana mtu yule..akatupa mda tujifunzena kurekebisha..next time hataingilia tena..na itakuwa mbaya kuliko mwanzo..


Andaaa makalio vizuri…Kichapo kipo palepale kitaendelea kuanzia 2025…lazma bakora zitembee mpaka akili ziamke…JPM aliachia bado mapema sana….akili hazikunolewa vyakutosha…
 
Andaaa makalio vizuri…Kichapo kipo palepale kitaendelea kuanzia 2025…lazma bakora zitembee mpaka akili ziamke…JPM aliachia bado mapema sana….akili hazikunolewa vyakutosha…
Alikua mjinga mwandamizi,alifikiri thamani ya kufuta demokrasia ni mchezo??size huko,mfyuu
 
Kwa muujibu wa taarifa ya polis Mangula alikoswa koswa na sumu jiwe alikua jiwe kweli
 
Kwahiyo kwa mfano sasa hivi wapinzani bado wanazuiliwa kufanya mikutano yao ila ccm wanafanya, je ndio tutasema hili linaendelea kwa sababu Samia hafuatilii kila jambo hivyo hajui hili na hajalibariki? Kuna mambo mengine anayafanya mwenyewe Samia ila bado lawama zinaenda kwa washauri kwamba kashauriwa vibaya ila Magufuli haikuwa hivyo.
Hili nalo neno mujarab !!
 
Mimi sizungumzii ushamba wake wala maziko yake, nachosema ni kwamba makosa yote yaliyofanyika awamu ya tano alihusishwa nayo Jiwe moja kwa moja ila awamu hii makosa yanayofanyika hahusishwi Samia japokuwa yeye ndio rais kama alivyokuwa Jiwe.
Samia anakosa gani Hadi Sasa ....? Kwani Kuna maiti zimeokotwa kwenye viroba kokobichi .....?
 
Ni sawaa magu alikuwa chiz ila Ni rais mzuri Sana linapokuja swala la maslai ya taifa na raia wake

Ameshasema kuwa inawezekana kuwa yey siyo mwnasias mzuri na ipo siku atakuja mwnasiasa mzuri atawabembeleza nimemuelewa San jpm polea pote
Tatizo hayo yote alikua anayaongea tu na sio kuyatenda. Angeyatenda wala watu wasinge furahi kifo chake
 
Samia anakosa gani Hadi Sasa ....? Kwani Kuna maiti zimeokotwa kwenye viroba kokobichi .....?
Kwani maiti za kwenye viroba huko koko beach huwa zinahusika moja kwa moja na taasisi ya rais?

Umeuliza kosa la Samia, kosa moja ni upendeleo wa kuachia hali yenye kufanya chama chake ccm kufanya mikutano ila vyama vya upinzani kuzuiliwa na yeye kukaa kimya kwa maana ameridhia jambo hilo.
 
Back
Top Bottom