Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Hao walionenepaYuko hapo kavaa nguo kama Sanda huwezi mtambua, AU unazungumzia wale wengine walio nenepa Sana π
au angeingia na suti si ndio ingekuwa balaaAngekua ameingia kanisani hivyo wangesema ni upinde, kanisa limebariki na blah blah za hivyo.
Sasa njema imeingia msikitini kabisaa πππ hii nchi ina vituko sijapata ona
Ukiona ng'ombe anakofia kichwani, utaniambia kaitoa wapi?Walikosea kumuandaa mapema, ndevu zile wangetoa zote wampake na enjo face.
Huko mbele huwa wanatengenezwa mapema.
Ule mtandio duuuu , sijui aliupata wapi mweee
Anatamani misikitini nako waone ushoga kawaida Kama alivyofanya papa
Iko mamboHao walionenepa
Onesheni picha ya kidume aliyevishwa juba.Imenishangaza sana, nadhani sababu ya kuwatenga wanawake na wanaume ni faragha.
Sasa kama vidume wanakaa sehemu za wanawake kuna maana gani?
View attachment 3019543
Inashangaza!
Mfano wako ni mfu. Mkatoliki hawezi kuingia msikitini kuswaliNawaza tu hapa kama Rais angekuwa ni Mkatoliki! Halafu akafanya kitendo kama hicho kwa hawa ndugu zetu!!! Nahisi takbiiir zingekuwa ni nyingi sana mtaani.
Camouflaging gani ya kifala kajulikana kirahisiCamouflaging
Tusubili kauli ya mashekh kama walivyo muonya afande seleImenishangaza sana, nadhani sababu ya kuwatenga wanawake na wanaume ni faragha.
Sasa kama vidume wanakaa sehemu za wanawake kuna maana gani?
View attachment 3019543bili
Inashangaza!
Nchi hii sihami π€£π€£π€£πππππ ni demu huyo sema maish tu
Tusubili kauli ya mashekh kama kwa afande seleImenishangaza sana, nadhani sababu ya kuwatenga wanawake na wanaume ni faragha.
Sasa kama vidume wanakaa sehemu za wanawake kuna maana gani?
View attachment 3019543
Inashangaza!
Atoe ushahidi kajuaje mwanaume wakati mtu kajifunikaπ€£π€£π€£Lete ushahidi!
Hahaa! Na ushungi wakeAise nilikuwa sijaona dah njemba imetulia na mustach wake
Mfano wako hauendani hata robo.Mungu anasema hata kama unasali ukaona nyoka anakufuata ama mtu anakuja kukudhuru, katisha sala ujihami kwanza. Hakusema atakulinda uendelee. Kwahiyo, tahadhari ni muhimu ktk maisha yako ya kila siku, usisubiri miujiza.