Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

Watanzania waongeaji sana mitandaoni ila kwenye kuandamana hawatokei
HOJA ni kuwa, ujumbe umefika au la!!!

Njia za kufikisha ujumbe zisikupe shida.

Kumbuka pia chawa wa mama waliandamana wakishirikiana na vyombo na ujumbe ulifika.
 
Watanzania waongeaji sana mitandaoni ila kwenye kuandamana hawatokei
Mwenzao miradi yake inaonekana mpaka nje ya nchi
Ila wenzetu wale ni blah blah nyingi
Tunawambia watafute pesa wawe na nguvu wShike rasilimali za nchi
Wao miradi zao burdan tu kukata mauno tu

Ova
 
Mwenzao miradi yake inaonekana mpaka nje ya nchi
Ila wenzetu wale ni blah blah nyingi
Tunawambia watafute pesa wawe na nguvu wShike rasilimali za nchi
Wao miradi zao burdan tu kukata mauno tu

Ova
Hapo ndo mimi napingana na wote ambao hawataki bandari kwenda kwa mwarabu, maana hoja zao hazina hoja.

Bado mkataba baina ya DP na TPA haujaingiwa, ukiingiwa ndo tutajua ukweli
 
Huyo Rostam ni dalali wa wamarekani kwenye uwekezaji wa biashara kubwa kubwa hapa Tanzania na ukanda wa Afrika mashariki. Hakuna kipya, na wala hanaga uzalendo wowote kwa Tanzania.
 
Hapo ndo mimi napingana na wote ambao hawataki bandari kwenda kwa mwarabu, maana hoja zao hazina hoja.

Bado mkataba baina ya DP na TPA haujaingiwa, ukiingiwa ndo tutajua ukweli
Ni wezi,wavivu wanaonufaika na pale bandarini ndiyo wanapiga kelele
Wanajua akija mwarabu pale biashara yao kwishney

Ova
 
Huyo Rostam ni dalali wa wamarekani kwenye uwekezaji wa biashara kubwa kubwa hapa Tanzania na ukanda wa Afrika mashariki. Hakuna kipya, na wala hanaga uzalendo wowote kwa Tanzania.
Na wewe/nyie kwanini msitafute nguvu ya pesa,ushawishi muwe madalali wa nchi yenu

Ova
 
Rostam Aziz alirudi nchini wakati wa Hayati JPM. Ni mfanyabiashara mzoefu hivyo alihitajika kuwepo kwenye huo msafara.

Samia anapita njia zile zile anazopita JPM na ndio maana ya KAZI IENDELEE, inaendelezwa tu kazi ilipoishia.
 
Nchi imeshauzwa hii, mkataba unaihusu Tanzania lakini unasainiwa Marekani
Tuliambiwa hivi kuwa Mkapa kauza nchi.
JK kauza nchi.
Na sasa Samia kauza nchi.

Labda mtuelekeze ni nchi gani hizo walizouza!?
 
Kumbe hatuna Kiongozi na maisha yanaenda, basi tuko vizuri
 
Namuona mama hayupo na Confidence kabisa tofauti na Rostam anae jua anacho kifanya. Hatujui nini kinaendelea nchi hii
Hapa ndio king ya DP ilivowekwa . Kuja kushtuka too late. Na bado mafinga imeuzwa ila hatuambiwi tu
 
Rostam atajua kama hajui , Tunafukua rasmi ya Channel 10 na yule mdogo wake aliyekamatwa na maelfu ya nyara za serikali
Then ndo mtapata nini!
Fikra za kimasikini hizo kuchukia matajiri.
Kumbukeni hao ndio waajiri wa maelfu ya vijana wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…