Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Hii nchi imeuzwa tayari [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkopo wa Biashara zake.View attachment 2670181
Mwekezaji Rostam Aziz akisaini mbele ya Rais wakiwa huko USA.
Hatukuambiwa walikuwa wanasaini nini. Tuna haki ya kujua na ofisi ya Rais ina wajibu wa kutujuza
HOJA ni kuwa, ujumbe umefika au la!!!Watanzania waongeaji sana mitandaoni ila kwenye kuandamana hawatokei
Mwenzao miradi yake inaonekana mpaka nje ya nchiWatanzania waongeaji sana mitandaoni ila kwenye kuandamana hawatokei
Hapo ndo mimi napingana na wote ambao hawataki bandari kwenda kwa mwarabu, maana hoja zao hazina hoja.Mwenzao miradi yake inaonekana mpaka nje ya nchi
Ila wenzetu wale ni blah blah nyingi
Tunawambia watafute pesa wawe na nguvu wShike rasilimali za nchi
Wao miradi zao burdan tu kukata mauno tu
Ova
Huyo Rostam ni dalali wa wamarekani kwenye uwekezaji wa biashara kubwa kubwa hapa Tanzania na ukanda wa Afrika mashariki. Hakuna kipya, na wala hanaga uzalendo wowote kwa Tanzania.Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi!
Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira na mapato ya nchi kupitia ushawishi kwenye uwekezaji
Ukienda Misri kuna Nasser Sawaris anaemiliki viwanda vingi vya cement na shareholder wa kampuni kubwa zaidi ya vifaa vya michezo ulaya Adidas
Ukienda Afrika kusini Kuna Patrice Motsepe
anaemiliki shares nyingi kwenye makampuni mbalimbali ya madini
Ukienda Nigeria kuna Aliko Dangote mwekezaji mkubwa kwenye uzalishaji wa cement , Sukari na mafuta na sasa anatengeneza refinery ya kwanza ya mafuta katika Bara la Africa
Tanzania tunae Rostam Aziz mmiliki wa kampuni ya Caspian, Taifa Gas, Tigo na Zantel! Huyu kuaminika kwake kunafanya kuwa mtu ambae Tanzania tunamtegemea sana kwenye kishawishi uwekezaji mkubwa unaotengeneza fursa za ajira na kukuza mapato na Uchumi wa nchi yetu
Urusi wanao wengi akiwemo Roman Abramovich aliyekuwa mmiliki wa club ya Chelsea
Marekani ndo usiseme wanao wengi na wanazidi kuzalisha wengi kila siku kama Jeff bezoz, Bill Gates, Warren Buffet, Elon Musk na wengineo wengi
Mfano wa kazi nzuri za Rostam Aziz kwa Tanzania ni huu! Katika ziara aliyoambatana na Rais Samia Marekani, ameweza kushawishi uwekezaji mkubwa katika kilimo hapa Tanzania kupitia Benki ya maendeleo Afrika.
Hongera Rais Samia, naiona akili kubwa sana kwako inayoenda kuibadili haraka sana Tanzania kiuchumi
View attachment 2207616
Vijana wa ovyoView attachment 2670181
Mwekezaji Rostam Aziz akisaini mbele ya Rais wakiwa huko USA.
Hatukuambiwa walikuwa wanasaini nini. Tuna haki ya kujua na ofisi ya Rais ina wajibu wa kutujuza
Ni wezi,wavivu wanaonufaika na pale bandarini ndiyo wanapiga keleleHapo ndo mimi napingana na wote ambao hawataki bandari kwenda kwa mwarabu, maana hoja zao hazina hoja.
Bado mkataba baina ya DP na TPA haujaingiwa, ukiingiwa ndo tutajua ukweli
Na wewe/nyie kwanini msitafute nguvu ya pesa,ushawishi muwe madalali wa nchi yenuHuyo Rostam ni dalali wa wamarekani kwenye uwekezaji wa biashara kubwa kubwa hapa Tanzania na ukanda wa Afrika mashariki. Hakuna kipya, na wala hanaga uzalendo wowote kwa Tanzania.
Rostam Aziz alirudi nchini wakati wa Hayati JPM. Ni mfanyabiashara mzoefu hivyo alihitajika kuwepo kwenye huo msafara.Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi!
Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira na mapato ya nchi kupitia ushawishi kwenye uwekezaji
Ukienda Misri kuna Nasser Sawaris anaemiliki viwanda vingi vya cement na shareholder wa kampuni kubwa zaidi ya vifaa vya michezo ulaya Adidas
Ukienda Afrika kusini Kuna Patrice Motsepe
anaemiliki shares nyingi kwenye makampuni mbalimbali ya madini
Ukienda Nigeria kuna Aliko Dangote mwekezaji mkubwa kwenye uzalishaji wa cement , Sukari na mafuta na sasa anatengeneza refinery ya kwanza ya mafuta katika Bara la Africa
Tanzania tunae Rostam Aziz mmiliki wa kampuni ya Caspian, Taifa Gas, Tigo na Zantel! Huyu kuaminika kwake kunafanya kuwa mtu ambae Tanzania tunamtegemea sana kwenye kishawishi uwekezaji mkubwa unaotengeneza fursa za ajira na kukuza mapato na Uchumi wa nchi yetu
Urusi wanao wengi akiwemo Roman Abramovich aliyekuwa mmiliki wa club ya Chelsea
Marekani ndo usiseme wanao wengi na wanazidi kuzalisha wengi kila siku kama Jeff bezoz, Bill Gates, Warren Buffet, Elon Musk na wengineo wengi
Mfano wa kazi nzuri za Rostam Aziz kwa Tanzania ni huu! Katika ziara aliyoambatana na Rais Samia Marekani, ameweza kushawishi uwekezaji mkubwa katika kilimo hapa Tanzania kupitia Benki ya maendeleo Afrika.
Hongera Rais Samia, naiona akili kubwa sana kwako inayoenda kuibadili haraka sana Tanzania kiuchumi
View attachment 2207616
Tuliambiwa hivi kuwa Mkapa kauza nchi.Nchi imeshauzwa hii, mkataba unaihusu Tanzania lakini unasainiwa Marekani
Kumbe hatuna Kiongozi na maisha yanaenda, basi tuko vizuriHii nchi haina kiongozi, hakika tunajiendea tu, halafu akiambiwa anajibu kwamba yeye anaziba masikio anafanya kazi kutuletea maendeleo.
Kumbe kazi zenyewe kimsingi wala hafanyi yeye, wapo wajanja ambao wanazifanya kwa manufaa yao kwa niaba yake, wakati huo yeye akiwa ameweka maslahi ya Tanganyika pembeni kwa muda.
Ndio maana jana Rostam amekurupuka kumjibu Dr. Slaa, ambapo kimsingi hata hakuna la maana alilojibu, zaidi ya kujitoa mhanga kumlinda huyo "body guard" wake hapo pichani anayeshuhudia bosi akitia saini..
Sawa imeuzwa.Jibu swali,anasaini nini,toka lini mpango akaelekezwa kusaini,nchi imeuzwa
Hapa ndio king ya DP ilivowekwa . Kuja kushtuka too late. Na bado mafinga imeuzwa ila hatuambiwi tuNamuona mama hayupo na Confidence kabisa tofauti na Rostam anae jua anacho kifanya. Hatujui nini kinaendelea nchi hii
Then ndo mtapata nini!Rostam atajua kama hajui , Tunafukua rasmi ya Channel 10 na yule mdogo wake aliyekamatwa na maelfu ya nyara za serikali
Leo nchi imechafukaHapa ndio king ya DP ilivowekwa . Kuja kushtuka too late. Na bado mafinga imeuzwa ila hatuambiwi tu