mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
Kumbe nashea mambo makubwa na mtoto ndogo,kaulize kwani Lostam kwanini alijiuzuru ubunge kabla ya muhula wake kwisha,utajulishwaWalimvuaje gamba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe nashea mambo makubwa na mtoto ndogo,kaulize kwani Lostam kwanini alijiuzuru ubunge kabla ya muhula wake kwisha,utajulishwaWalimvuaje gamba?
Chuki zipi, mbona hatukuwahi kumsikia Mengi au Mo au Bacressa wakitajwa kwa ufisadi nchini,au wao sio matajiri?Kutajwa ndo uthibitisho?
Kwani ni lazima kujibu? We unaweza kujibu upuuzi unaoletwa kwako kwa chuki na husda tu?
Nakuuliza wewe useme lini Rostam alijiuzuru ubunge kwa sababu ya ku ya gambaKumbe nashea mambo makubwa na mtoto ndogo,kaulize kwani Lostam kwanini alijiuzuru ubunge kabla ya muhula wake kwisha,utajulishwa
👆Dalali mwenye asili ya Iran wakala wa CIA. Mmoja wa miliki wa CCM anaeiuza nchi yetu bila huruma kwa sisi wananchi.
Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi!
Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira na mapato ya nchi kupitia ushawishi kwenye uwekezaji
Ukienda Misri kuna Nasser Sawaris anaemiliki viwanda vingi vya cement na shareholder wa kampuni kubwa zaidi ya vifaa vya michezo ulaya Adidas
Ukienda Afrika kusini Kuna Patrice Motsepe
anaemiliki shares nyingi kwenye makampuni mbalimbali ya madini
Ukienda Nigeria kuna Aliko Dangote mwekezaji mkubwa kwenye uzalishaji wa cement , Sukari na mafuta na sasa anatengeneza refinery ya kwanza ya mafuta katika Bara la Africa
Tanzania tunae Rostam Aziz mmiliki wa kampuni ya Caspian, Taifa Gas, Tigo na Zantel! Huyu kuaminika kwake kunafanya kuwa mtu ambae Tanzania tunamtegemea sana kwenye kishawishi uwekezaji mkubwa unaotengeneza fursa za ajira na kukuza mapato na Uchumi wa nchi yetu
Urusi wanao wengi akiwemo Roman Abramovich aliyekuwa mmiliki wa club ya Chelsea
Marekani ndo usiseme wanao wengi na wanazidi kuzalisha wengi kila siku kama Jeff bezoz, Bill Gates, Warren Buffet, Elon Musk na wengineo wengi
Mfano wa kazi nzuri za Rostam Aziz kwa Tanzania ni huu! Katika ziara aliyoambatana na Rais Samia Marekani, ameweza kushawishi uwekezaji mkubwa katika kilimo hapa Tanzania kupitia Benki ya maendeleo Afrika.
Hongera Rais Samia, naiona akili kubwa sana kwako inayoenda kuiba dili haraka sana Tanzania kiuchumi
View attachment 2207616
Mengi hajawai kutajwa kwenye ufisadi? Una uhakika? Hujui alitajwa kuhusika na kufa kwa NBC? Nico?Chuki zipi, mbona hatukuwahi kumsikia Mengi au Mo au Bacressa wakitajwa kwa ufisadi nchini,au wao sio matajiri?
Mawazo ya maskiniWapigaji tu
Hujui Bakhresa anatajwa kuchukua kiwanda cha National Milling
Sasa kuchukua shamba kwenda kukopa nao ni ufisadi?niambia Mengi alitajwa Nanani,wapi?Niko kuja kufirisika Mengi alikwisha jiuzuru ujumbe wa bodi,Niko imeliwa na Idi SimbaMengi hajawai kutajwa kwenye ufisadi? Una uhakika? Hujui alitajwa kuhusika na kufa kwa NBC? Nico?
Hujui Bakhresa anatajwa kuchukua kiwanda cha National Milling
Hujui Mo anatajwa kuchukua mashamba kwenda kukopea na hafanyi uwekezaji
Kama kutajwa nani hatajwi?
Wewe wasema hivyo ! Kuna wengine wanasema alifisadi kwa kuchukua kwa bei ya kutupaBakhresa hakuchukua kiwanda cha National Milling bure bali alinunua kihalali toka PSRC. Hilo halina ubishi.
Mawazo ya maskini
Hayo unasema wewe! Hoja yangu kama kutajwa kila mtu anatajwaSasa kuchukua shamba kwenda kukopa nao ni ufisadi?niambia Mengi alitajwa Nanani,wapi?Niko kuja kufirisika Mengi alikwisha jiuzuru ujumbe wa bodi,Niko imeliwa na Idi Simba
Huyu ni mjinga mlamba asali ya mafisadi,anafikiri sisi ni watoto kama yeye.Bakhresa hakuchukua kiwanda cha National Milling bure bali alinunua kihalali toka PSRC. Hilo halina ubishi.
Wanatajwa kwa ufisadi wa kuhujumu nchi?Hayo unasema wewe! Hoja yangu kama kutajwa kila mtu anatajwa
Unaumiaje kwa tajiri kuzidi kupata? Kwanza tajiri akizidi kupata hata wewe na wanao mnapata nafasi ya kupata ajira! Tajiri akifirisika wewe utapata kazi wapi?Lazima masikini tupige kelele kwani ndio tunaoumia mnapo tuhujumu wakati nyinyi mnajificha kwenye mahekalu ya wizi huko Msoga!
Inategemea unatafsirije! Kikubwa wanatajwa kwenye kashfa mbalimbaliWanatajwa kwa ufisadi wa kuhujumu nchi?
Nilikuwa namjibu tu muuliza swali kuwa kama kutajwa kila mtu anatajwa
Weka uthibitisho kwanza wa Rostam kuhujumu hivyo viwandaSasa na wewe jibu ROSTAM alivifanya nini viwanda vya ngozi alivyotakiwa kuviendeleza kufuatana na mkataba wa kuuziwa na kama alimaliza lile deni la kununulia kule PSRC?
Hapo ndipo unapoonesha upopoma wako!! Yaani wewe unakubali nchi iibiwe ili mradi Watu wanafanyishwa kazi kwa mshahara kiduchu na unaridhika? Wafanyakazi wa MO Dewji kila leo wanalalamika jinsi anavyowanyonya!!! Hawa sio wawekezaj ikama Bakhresa ni wezi wanaficha akiba zao DUBAI!!!Unaumiaje kwa tajiri kuzidi kupata? Kwanza tajiri akizidi kupata hata wewe na wanao mnapata nafasi ya kupata ajira! Tajiri akifirisika wewe utapata kazi wapi?
Jibu maswali usioneshe uchawa wako TU!! Hivyo viwanda aliviendeleza kama mkataba ulivyosema?Weka uthibitisho kwanza wa Rostam kuhujumu hivyo viwanda