Watanzania kwa sasa tunataka Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi! Tatizo liko wapi ikiendelea kushinda
CCM katika mazingira ya uchaguzi huru na wa haki? Nyinyi kubalini tu uwepo wa hiyo Tume, lakini pia kuurejesha mchakato wa Katiba Mpya. Nyinyi si mnapendwa! Mmenunua ndege, mmeifanya nchi kuwa uchumi wa kati! Sasa hofu iko wapi?
Kinachotukera Watanzania wengi kiasi cha kutufanya kususia zoezi la upigaji wa kura, ni uwepo wa hiyo tume hovyo ya uchaguzi, mamlaka makubwa ya Rais kuingilia huo mchakato mzima wa uchaguzi, na uwepo wa wale nyau policcm wanao tumika kuwatisha wagombea wa upinzani, mawakala na pia wapiga kura.