Mnaofanya mazoezi ya kukimbia kuna mambo mnadanganya

Nguvu wanazozitumia kukimbia barabarani, kwenda Jim kupambana na mavyuma na sauna wangetumia nguvu hizo kufanya kazi za kuwaingizia pesa Tanzania tungekuwa na Matajiri wengi..Sasa wasubiri fainali uzeeni ndio watakutia.nguvu walizopoteza bure
 
Inauma sana kuona unamaliza 2km huku roho ikikaribia kuacha mwili mara ghafla unaona kibonge kapost kamaliza 13km. Huu sio uungwana na ni kukatishana tamaa.

Mkuu imekuuma sana kibonge kukata 13km [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kuna ukweli hapa!
 
Nguvu wanazozitumia kukimbia barabarani, kwenda Jim kupambana na mavyuma na sauna wangetumia nguvu hizo kufanya kazi za kuwaingizia pesa Tanzania tungekuwa na Matajiri wengi..Sasa wasubiri fainali uzeeni ndio watakutia.nguvu walizopoteza bure
Wewe usiyekimbia barabarani ni tajiri?
 
Ni kweli mkuu. Juzi nilikimbia 2.25km leo nimeenda 2.3km kwa dakika 15. Hakika haya ni mafanikio makubwa kwa upande wangu.
 
Ukitaka mimama,huku ndo kwenyewe
Leo kuna mdada fulani jirani yangu kama nyumba ya nne, ni mfanyakazi wa serikali aliniona wakati naenda jogging kaomba aungane nami kesho. Kwa alivyofungasha ni mtihani mzito. Pia yuko single na mimi niko single. Nahisi program yangu ya mazoezi kuvurugwa. HILI NI JARIBU KUU
 
View: https://youtu.be/5f2j3aQnngw?si=jHZTFsdmtY98eqtr
Kabla ya kubishana uwe unafsnya uchunguzi
 
youtu.be/5f2j3aQnngw?si=jHZTFsdmtY98eqtr

Kabla ya kubishana uwe unafsnya uchunguzi
 
Kukimbia ni noma sana kama hauna mazoezi ukikimbia km3 unahisi unataka kufa aisee
 
Halafu wengi bed hawana pumzi,, kuna kadada kila siku kupost sijui kaenda km 20 , ila ukienda kunyandua dakika kadhaa tu analalamika kachoka
 
Nimeanza kukimbia naombeni uniambie hivi ukitoka ibungu kuzunguka sahara,ukapita lile daraja la ubungo mpaka urafiki ni kilometre ngapi waku maana ni nomaa mpaka moyo unataka kutoka
 
Download App ili ikupe umbali sahihi.
 
Sio lazima utumie app nenda Google andika sehemu unapoanzia kukimbia na sehemu utakayo malizia pale itakuletea distance,mimi naanziaga ibungu to urafiki via kigogo road ni 15.7 km exactly huwa nazimaliza tena nikiwa na nguvu,ila kuna mahali inafika roho inataka kuchomoka sio powah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…