Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #381
Daah basi inabidi nitembee tembee maana kuna sehemu nyingine nazisikia tu.Yeeep, ni vitongoji maeneo vilivyopo ndani ya halmashauri zilizo ndani ya mkoa wa DSM .. mbopo ni manispaa ya kinondoni , zingiziwa nadhani ni Temeke, Kifuru ni ilala kama sio ubungo halmashauri,
Yombo dovya
Sisi watu wa mikoani tunaijua kazi iliyopo kuishi hukoKazi ipo wapi sasa?
Bei za chakula au ?Sisi watu wa mikoani tunaijua kazi iliyopo kuishi huko
Tandika kaburi moja ni mtaa, ndani ya Tandika hivyo unaweza kufika tandika, hata huo mtaa ukapita usijue ukajua umepita Tandika.Kote huko hata mimi sipajui
Keko nimefika na Jeti LumoYombo dovya
Jeti lumo
Mwanagati
Keko magulumbasi
Kwangu mimi sehemu nyingi za nje ya mji sijawahi kufuka ila katika ya Dar ndiyo mweneyeji, Kuanzia Sinza, Kijitonyama, Manzese, Magomeni, Chuo kikuu na Aridhi, Makongo juu, Kawe, Mikocheni, Msasani, Masaki, Osterbay, Kinondoni, Upanga, Post, Keko, Tandika, Ubungo, Kitunda.Mwanayamala, Bunguruni, Kariakoo.Tazara. Ocean Road.Km hujawahi kufika hayo maeneo hata Ubungo Kibangu hupajui Mabibo Jeshini na hujawahi kufika Tabata Kisukuru wala kukanyaga Majichumvi hupajui Goba njia 4 unapasikia tu hama Dar Mbweni Madale hupajui na unaishi Dar mwingine hata Mbezi Beach tu anapasikia kwenye bomba na anaishi Dar hama Dar
Mkuu sasa mtu kazaliwa Dar na sehemu zongine kuzijua ni ngumu ukute hana ndugu na jamaa na marafiki na utakuta kazaliwa Dar kapata kazi kapangiwa mikoani uko.Sio anaishi mwingine kazaliwa jijini na hajui maeneo kibao, unabaki kushangaa tu, na jinsi usafiri wa dar ulivyo bei rahisi.
Ndiyo upande gani wa Mwananyamala huu?Mwananyamala nchi mbovu
🤣🤣🤣
Nakusoma sana, mimi pia ni kama wewe. Nimejifunza sehemu nyingi mpya kupitia huu uzi!Kwangu mimi sehemu nyingi za nje ya mji sijawahi kufuka ila katika ya Dar ndiyo mweneyeji, Kuanzia Sinza, Kijitonyama, Manzese, Magomeni, Chuo kikuu na Aridhi, Makongo juu, Kawe, Mikocheni, Msasani, Masaki, Osterbay, Kinondoni, Upanga, Post, Keko, Tandika, Ubungo, Kitunda.Mwanayamala, Bunguruni, Kariakoo.Tazara. Ocean Road.
Wewe uko wapi?Aaah kumbe upo karibu na mimi kabisa.
Sijawahi kufika sehemu inaitwa INAMENI KWA MPORONYOKO.
Duuh kuna maeneo yana majina 🤣🤣Sijawahi kufika sehemu inaitwa INAMENI KWA MPORONYOKO.
Nasikia ipo MKUNDUCHI JUU.
Umeshawahi kufika Mbagala kibonde maji kwa nyoka?Duuh kuna maeneo yana majina 🤣🤣
Duuh sidhani, nimeshawahi kufika mbagala rangi tatu na mbagala kuu.Umeshawahi kufika Mbagala kibonde maji kwa nyoka?
Au kule kidonda ndimu?
Kweli kabisa, si rahisi kujua majina ya mitaa kama si mwenyeji wa eneo husika.Tandika kaburi moja ni mtaa, ndani ya Tandika hivyo unaweza kufika tandika, hata huo mtaa ukapita usijue ukajua umepita Tandika.
Mfano Mbezi Mwisho, kuna mitaa unaitwa O.G. mwingine Kitopeni iko jirani stand kuu ya Mabasi Wasiyo wenyeji hawajui majina ya mitaa.
Kuna maeneo common mzee ni ajabu kwa mwenyeji kutoyafahamu.Mkuu sasa mtu kazaliwa Dar na sehemu zongine kuzijua ni ngumu ukute hana ndugu na jamaa na marafiki na utakuta kazaliwa Dar kapata kazi kapangiwa mikoani uko.