Mnaomfananishaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo huwaga mnatumia nini kufikiri?

Kwenye michuano ya kombe la dunia inayoendelea Messi ni bora zaidi kuliko wachezaji wote... Kama hutaki kafie Mbele
 
Utofaauti wa Goat na huyu mtoto ni kwamba GoAt anakufanya uamini kwamba kwenye mpira hakuna kitu kisichowezekana na unapoona kugumu yeye anafaulu na haumfanyi chochote
 
Kipaji pekeake hakitoshi kukufanya uwe mtu exceptional, goat kwangu ni mtu special anakipaji halafu ana bidii sana
 
Kama hauwalinganishi usinge leta hii thread
 
Mnaomfabanisha Ronaldo na hearly hivi huwa mnatumia nin kufikiri
 
Kwanza nikupongeze kwa kuweka hoja.

Pili nitajibu kwa kuanzia mwishoni ulivyomaliza.

Umetaja timu zilizomfunga Portugal na ku undermine uwezo wa Cristiano.

Hii kwangu naiona kama iko biased hususan pale tukiangalia Qatar walimpiga Argentina.

Na tukianza kupima hizo timu zilizomfunga Portugal katika rank za FIFA ni kubwa kuliko Qatar.

Lakini huko kote tusifike.

Kwanini watu wengi tunafikiria kuwa 2022 FIFA walimzawadia Messi kombe.

Umeitaja mechi dhidi ya Netherlands na mimi hapo ndio nitapoanzia.

Parefes alitakiwa kutolewa kwa kadi nyekundu kwa kile kitendo chake cha kuwapigia mpira benchi la ufundi la Netherlands lakini haikuwa hivyo.

CEO wa World cup Nasser Al-Khate alisema kuwa anataka Messi achukue ubingwa wa kombe la dunia.

Messi ana mkataba na shirika moja la usafirishaji la Qatar na wakati huo anachezea PSG ambayo wamiliki wao ni Qatar, na ana mkataba na Pepsi na Pepsi hao ndio wadhamini wa WC.

Actually ingeweza kuonekana kawaida lakini pale tunapoona some favors fulani fulani lazima tuweke doubts, mfano katika mechi 7, Argentina walicheza mechi zao 5 kwenye kiwanja kimoja ikiwemo final.

Hii ni mbinu ya kumpa urahisi mtu wa kukizoea kiwanja.

Argentina kwenye mechi 7 alikuwa na penalty 6 na kuna nyingine walikosa, hii kufanya iwe ndio timu ya kwanza kuwa na penalty nyingi kwenye single tournament.

Kuna faulo kadhaa ambazo zilikuwa committed na wachezaji wa Argentina hazikuchukuliwa maamuzi yanayostahili au kupotezewa kabisa.

kuwadhalilisha wachezaji kabla ya penalti, kuingia kwenye boksi la penalti wakati wa mkwaju wa penalti



kushika mpira kwa mkono bila kuadhibiwa


Kutoa ishara za kejeli



Faulo aliyocheza leo ni sawa na ile ya 2022 aliyochezewa mchezaji wa France akinyimwa nafasi ya kufunga goli, hakuna faulo, hakuna penati, hakuna kadi ilitolewa kufuatia kitendo hiki



Hii haikuwa penati wala kadi nyekundu kwa Ortamendi licha ya kwamba alikuwa ni mtu wa mwisho


Your browser is not able to display this video.


Nawaelewa baadhi ya watu wanaosema hii ilikuwa ni soft sana hivyo haikustahili kuwa penati

Lakini vipi kuhusu hii ya Di Maria?
Your browser is not able to display this video.


Game ya Argentina na Mexico V.A.R iliruhusu goli hili


Ufaransa wakiwa wanafanya counter attack refa alisimamisha mpira kwa sekunde 30. Refa baada ya mechi alikiri kufanya makosa mengi ya kiuamuzi kwenye hiyo mechi


Messi alipaswa kupewa kadi nyekundu katika robo fainali, na Martinez alipaswa kupewa kadi ya njano katika fainali

Mwaka 2016 kuna refa msaidizi ambaye alifungiwa wiki 2 kwa kosa la kuipendelea Barcelona kwenye mechi za Derby ya El Classico


Refa huyo msaidizi ndio aliyechezesha mechi ya Quarter final Argentina vs Netherland. Hapo unaweza kupima zile controversial moments ambazo ziliifanyika na namna maamuzi yalivyoamuliwa.
 
BlackPanther
 
Wakuu tuendelee kuwafananisha hawa goats 🐐 wetu na uzi uwe endelevu kama ule wa Mishahara.... Hivi Ronaldo ana world cups mbili au moja?
 
Anachukua mpira kuanzia kati ya uwanja anaipandisha team na hapo hapo anapiga mabao matakatifu Anafanya kile ambacho alichokuwa anakifanya akiwa akiwa na miaka 22 wakati huu ambao ana miaka 39 huyu mtu sio kiumbe wakawaida kabisa

Class is permanent...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…